DISQUS SHORTNAME

SAMAHANI KWA PICHA:MAJAMBAZI YAUA ARUSHA

Mwananchi mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi eneo na Clock Tower jijini Arusha. Majambaz...


Mwananchi mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi eneo na Clock Tower jijini Arusha. Majambazi hao walikuwa wakipora kwenye Bureau Change iitwayo Nothern ambapo marehemu alikuwa akipita jirani na eneo hilo na alipowaona alipiga kelele ndipo akafyatuliwa risasi kadhaa na kupoteza maisha.

Related

HABARI YA MJINI 6364481292279612548

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item