DISQUS SHORTNAME

Diamond face to face na President Jakaya Kikwete ndani ya New York city.

Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete yupo kwenye safari zake za kikazi na Diamond yupo kwenye safari za show zake huko Marekani.


Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete yupo kwenye safari zake za kikazi na Diamond yupo
kwenye safari za show zake huko Marekani.
Diamond alipofika Manhattan ndani ya jiji la New York alikuta na Rais Kikwete. Kama kawa picha mbili tatu zilihusika na Diamond ali-post picha kwenye insta na kuandika,”The President of United Republic of Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete and I… just few minutes ago in Manhattan, New York.”

Related

BONGO FLAVA 5008833337675072574

Post a Comment

  1. Jk anaupendo sana Roho yake nzuri km rangi yake na.sura yakeee. Sio ukawa hawaelewekiiii hata sura zao mbayaaaaaa

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item