WEMA AWAGOMBANISHADIAMOND , PREZZO
RAIS wa Wasafi Bongo, Nasibu Abdul ‘ Diamond ’ yuko ndani ya bifu zito na mwanamuziki kiwango cha juu kutoka nchini Kenya, Jackson Ng...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/wema-awagombanisha-diamond-prezzo.html
RAIS wa Wasafi Bongo, Nasibu Abdul ‘ Diamond ’ yuko ndani ya bifu zito na mwanamuziki kiwango cha juu kutoka nchini Kenya, Jackson Ngechu Makini ‘ Prezzo ’ chanzo kikidaiwa ni Miss Tanzania 2006 ,
Wema Sepetu . Diva wa filamu za Kibongo , Wema Sepetu ' Beautiful Onyinye' . Bifu la wawili hao limekuja kufuatia madai kwamba, Prezzo amemtundika Diamond kwenye mtandao akimkejeli kwa kitendo chake cha kurudiana na Wema na kuweka mambo hadharani . Ilidaiwa kuwa katika maneno yake , Prezzo alikandia akisema anamshangaa Diamond anatamba kuwa ana mpenzi supastaa ambaye ni Wema wakati yeye mwenyewe alishaanguka naye .
Madai yanazidi kusema kuwa Prezzo akaongeza kwa kuandika kwamba, Bongo hakuna mademu masupastaa kwani hata Jokate ( Mwegelo ) aliyewahi kutamba naye si lolote kwake. Msanii huyo anadaiwa alikwenda mbele zaidi kwa kusema kama ni ustaa anao yeye mwenye pesa zake na si Diamond ambaye hamfikii kwa lolote.
MASHABIKI WA DIAMOND WAJA JUU
Baada ya kuanika maneno hayo yaliyoonekana kujaa kejeli , mashabiki wa Diamond walimshukia Prezzo na kuanza kumnanga kwa kila mtu anavyoweza mwenyewe ndipo akaanza kuhaha kutaka suluhu kwa Diamond akimuomba meneja wake awakutanishe . Mkali wa Bongo Fleva nchini , Nasibu Abdul ' Diamond' .
DIAMOND NAYE AWA MBOGO
Akizungumza kwa hasira na paparazi wetu usiku wa kuamkia Mei 11, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Element uliopo Masaki jijini Dar es Salaam, Diamond alisema kufuatia matusi hayo hatarajii kufika kwenye vikao vya usuluhishi na mtu yeyote yule. “Nimekasirishwa sana na huyu jamaa ( Prezzo) amenitukana kwenye mtandao mimi na demu wangu ( Wema ) huku akijua sijawahi hata siku moja kujihusisha na yeye kwa jambo lolote lile , daa!” alihamaki Diamond .
HASIRA ZOTE HIZO ZIMETOKA WAPI?
Diamond aliyasema hayo baada ya meneja wa Prezzo aliyejulikana kwa jina moja la Asa kumtaka Mbongo Fleva huyo wakutane yeye akiwa na Prezzo ili wamalize tofauti zao. “Meneja wake aliniita eti tukakae kikao
kuyaongea, mimi sioni sababu ya kukutana na Prezzo , yeye ndiye alianza kunitukana hivyo kama anataka kweli kuelewana na mimi basi arejee tena mtandaoni akaombe radhi , nitamuona muungwana . “Unajua katika muziki ni wachache sana wenye uwezo wa kutumia ustaarabu katika maamuzi yao, wengi wanaamini kumtusi mtu ndiyo njia pekee ya kupandisha jina au kumfanya abusti ngoma yake kumbe huwa ni njia mojawapo ya kujishushia heshima hasa kwa watu wenye busara walio nyuma yake. ” Mkali wa muziki kutoka Kenya , CMB Prezzo .
ANACHOKIAMINI DIAMOND
Akiendelea kuzungumzia ishu hiyo , Diamond alisema anachoamini yeye, Prezzo alifanya vile ili apate kiki kupitia mgongo wake. “Najua kama alifanya hayo kwa kufurahisha nafsi yake basi ilisuuzika. Anachotakiwa
kukifanya kwa sasa ni kurudi mtandaoni akaandike mazuri yangu. “Kwanza mimi sina hata chembe moja ya
chuki na yeye ingawa amenioneshea uswahili wa hali ya juu ,” alisema Diamond .
WAKUTANA, WAFUNGIANA VIOO
Hivi karibuni , wawili hao walikutana katika Ukumbi wa Element , Masaki, Dar ambapo Prezzo alikuwa akifanya shoo lakini walifungiana vioo .
TURUDI NYUMA
Siku za nyuma , iliwahi kuripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania na Kenya ( hasa magazeti ) kuhusu kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi kati ya Wema na Prezzo ambao ulidumu kwa muda mfupi
baada ya Wema kumwagana na Diamond .
By Global publishers.

Wema again, jamvi la wageni, huyu mwanamke hajafanya zuri lolote zaidi ya kujiuza kwa wanaume wenye pesa na kujenga umaarufu, kwangu mie wema si lolote si chochote ni jamvi la wageni tu, na ndio maana ndugu wa daimond hawamtaki, ni sababu ya haya yote
ReplyDeleteebu tueleze wanaume ulodate nao wote hapa 2waone. achana n chuki zako binafs sema wema kwa sabab star bas. hamna lolote ww ndo jamv la wageni
Deletemkundu wake prezo kanikera mkuma wa mama ake. na yeye kwa ustar gan alokua nao. msenge 2 na joto hacra lake
ReplyDeleteGlobal publisher stupid blog hemu chapisheni vitu za recent sio kuleta chuki kati ya kenya na tz. Hii ni mambo ya 2013. Proundly 254
ReplyDeleteJAMANI MNAOMUITA WEMA JAMVI LAWAGENI.EBU KILAMWANAMKE AWEKE WAZI TOKA KAKUA AMETEMBEA NA WANAUME WANGAPI,KAMA HATUJAJAZA PAGE MBILI ZAGAZETI HAPA.WEMA NI STAR NDIO MAANA YAKE YANAJULIKANA,TENAMKOME MNAOSEMA NDGU ZAKE DAI HAWAMTAKI.HAO KINA DADAZAKE WAMESHALALA NA MABWANA MIA KDGO MFYUUUU.ALAFU WEWE PREZZO NILIKUONAGA MSTARABU KUMBE SENGE SAANA.DOMO KMA LIPS ZA QUMA YAKIZEE.NDIOMANA CHAGGABARBIE ANAKUNANGA KUMBE NIMEKUCHUKIA ANZIA SASA.NILIKUWA SIJAJUA UJINGA WAKILIZAKO KUBWAJINGA WEE TEJA LA UNGA.UMKOME DIAMOND WETU HUWA NIMSTARABU HATUKANI WANAMZIKI WENZIO HATASIKUMOJA.WAMESHAMTUSI SANA MARAKIBAO KAKAA KIMYA TENAUKOME PREZZO NIMEKUCHUKIA MBWA WEWE .NAOMBA USIPOJIPANGA UKAIWEKEE HII KWA IG PAGE TULINANGE HILI TEJA PREZZO.KIBAMIA (OKRA)NIMEKUTOA KABISA NIOLIKUWAGA NAKUTETEA KWA CHAGGA ILA SASA UTAJUTA MBUZI MKUBWAA.DIAMOND NIKUPENDA SANA MDGO WANGU KWA USTARABU UULONAO.UMESHATEMBEA NA MADEMU WENGI MASTAR ILA HATA SIKUMOJA HUMSIKII AKIWAKASHIFU HAPO TU NAMPA HONGERA DIAMOND WETUU.
ReplyDeleteumeonaeee kamanda tuwekee hili prezzo tulichambe papa kibamia hiloooo kibolo mzozo eti katembea na wema uongo ulikuwa wapi siku zote hizo usiseme kama ulitembea naye??KIBAMIAAAAAAAAAAAAA
DeleteMfyuuu jamvi la wagen mama ako ndio mana huna baba,mwehu nini hujui kujinad umetembea na wema ni kik?kwaiyo kukurupuka mtu nakusema ametoka na wema visikushtue mtoto manshaaalah ananyota pesa kila mtu anataman awenazo,prezzo wewe ni nyokolist,mburula wa mwisho
ReplyDeleteHe is just a stupid prezzo,im a proudly kenyan +254
ReplyDeletejamvi la wageni ww umelala na wangapi?ww uliefanya mazuri uko mbona hatuyaoni.hao ndug ni vijiba vyao vya roho ndo vinawafanya hvyo bt kimoyomoyo wanakubali.na muoaji sio hao dada zake bali ni chibu.diamond.kwnz udada wenyewe wa kuvuta na kamba.hahahha mxiuuu jamvi mama yko.
ReplyDeletepeleka ujinga kule unauhakika gani kama prezzo kasema hivyo?? eti jamvi la wageni kumamayoo wewe idiot mwacheni wema huyo prezzo kibamia muongo hana lolote nakabolo kake kama kinembe hiloooo
ReplyDeleteUyu prezo anamuonea diamond wivu kwa tuzo saba alizopokea na kumiliki staa mkali kama wema..
ReplyDelete..uyo prezo Kuku sekela ana lolote kwanza Mali zenyewe alirithiswa tuu akutafta kwa jasho lake kama diamond anavyotafuta......ututokee hapa uso wenyewe mkomao kila akija tz majungu, ndo maana chaggabibi alimtukana!sheme on you prezoooo!
he he he heeheeeee Kanibinueeeee
ReplyDeleteHyu kibamia sijui anata roho ya chibu wetu maana haiishi kumsakama...anachokiimba anakijua mwenyew na mboo yake fupi....mamayo zako live ur shemeg alone msenge baridi ww...dai anakunyima usingizi....ela unazo lkn una ukosefu wa bolo kubwa mwilini...funga hzo ela zako ukawatombee madem waache kukudharau km ela mali nyokooooooo
ReplyDeleteHyu kibamia sijui anata roho ya chibu wetu maana haiishi kumsakama...anachokiimba anakijua mwenyew na mboo yake fupi....mamayo zako live ur shemeg alone msenge baridi ww...dai anakunyima usingizi....ela unazo lkn una ukosefu wa bolo kubwa mwilini...funga hzo ela zako ukawatombee madem waache kukudharau km ela mali nyokooooooo
ReplyDelete