DISQUS SHORTNAME

WEMA AWA GUMZO MTANDAO WA INSTAGRAM

Wema amekuwa gumzo huko mtandao wa instagram kuna watu wanaojiita team wema hao ni fans wa wema wapo tayari kukuchamba kwa nguvu zote iwapo ...

Wema amekuwa gumzo huko mtandao wa instagram kuna watu wanaojiita team wema hao ni fans wa wema wapo tayari kukuchamba kwa nguvu zote iwapo tu utamkera wema kwa chochote, na inasadikiwa ndiye msanii wa bongo movie wa kike mwenye fans wengi kupita wote!
JE UNADHANI NI KWANINI WATU WANAMPENDA SANA WEMA?
KWANINI ISIWE JACK WOLPER?
AU IRENE UWOYA? AMA LULU?AU MWINGINE YEYOTE?...
Tiririkaaa....freedom of speech ila matusi sio fear...

Related

MITANDAO YA KIJAMII 4097396126947919929

Post a Comment

  1. wema ni mzuri na hajisikii kama wolper
    wema huwa hapendi show off za kijinga yaan ni mtu poa mpole na mkaimu ila ndio hivyo hanaga bahat ya marafki

    ReplyDelete
  2. Wema mzuri na anaroho nzuri

    ReplyDelete
  3. Wema kwanza nimzuri pili hana madharau kama wengine tatu mpole nasiombe umsikie akiongea mana sauti yake itakufanya ulale na anaroho yakepekeyake mvumilivu mjasiri najua kila mtu ana mapungufu yake lakini kwa wemasepetu watu wana vutiwa na mazuri anayo ya fanya na sio watu wazima pekee wema yuwapendwa paka na watoto anajali kila mtu achangui yoyote kwake sawa namuombea kila siku mungu amlinde natakia kila lenye kheri na baraka katika maisha yake fro (dubai)

    ReplyDelete
  4. Wema kwanza nimzuri pili hana madharau kama wengine tatu mpole nasiombe umsikie akiongea mana sauti yake itakufanya ulale na anaroho yakepekeyake mvumilivu mjasiri najua kila mtu ana mapungufu yake lakini kwa wemasepetu watu wana vutiwa na mazuri anayo ya fanya na sio watu wazima pekee wema yuwapendwa paka na watoto anajali kila mtu achangui yoyote kwake sawa namuombea kila siku mungu amlinde natakia kila lenye kheri na baraka katika maisha yake fro (dubai)

    ReplyDelete
  5. Wema kwanza nimzuri pili hana madharau kama wengine tatu mpole nasiombe umsikie akiongea mana sauti yake itakufanya ulale na anaroho yakepekeyake mvumilivu mjasiri najua kila mtu ana mapungufu yake lakini kwa wemasepetu watu wana vutiwa na mazuri anayo ya fanya na sio watu wazima pekee wema yuwapendwa paka na watoto anajali kila mtu achangui yoyote kwake sawa namuombea kila siku mungu amlinde natakia kila lenye kheri na baraka katika maisha yake fro (dubai)

    ReplyDelete
  6. Wema ukikutana nae sehemu anasalimia na ht ukimfuata kwa ajili ya kumsalimia km shabiki wake anakupa ushirikiano siyo hao wengine full kujishaua wakati wana nyota ya mzoga.

    ReplyDelete
  7. Wema mtu mzuri sana na ana roho nzuri na wema kama jina lake, ila ana fun ambao kichwani kumejaa maji, mazumbukuku, kushabikia yasiyowahusu. kutukana ovyo kama wehu wasio na wazazi, waongo na account zao fake, namwombea Wema na Dangote wake maisha marefu

    ReplyDelete
  8. Wema sio mnafki kama Kajala lulu na wolper na pia hapendi showoff Ka za lulu na tatu wema ndo mwenye hela zaidi hayo lakini hajishaui Ka wolper na lulu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wema ukimkosoa ana kubali n kushaurika lakini wenzie kina lulu ukiwakosoa unalo hawapendi kuambiwa ukweli wao kila siku wasifiwe tu

      Delete
  9. wema she z beautful. wema ni star n anajua kumaintain her level. sio kila star anakua na uhalisia wa ustar. wema hapend show off za kipumbvu. wema sio mnafq kujifanya mwema kumbe sio. wema ana roho nzuri sana.
    MY ADVICE TO HER. Wema u should be able to use the resource u hav, don wait til ts too late. u hav a good CV that will sustain to employ u in any big company. don waste ua chances u r a brand and I love t n u. Don allow wa2 wasafirie nyota yako tena. Mungu akubariki sana. #Team_wema_4_lyf

    ReplyDelete
  10. all i can say, she z a woman of steel, detarmined n dedicated to her works, lovin an caring person which make her an INSPARITION. i luv n admire her with everthing. #teamwemaforlife

    ReplyDelete
  11. WEMA NIMTU WAWATU,HARINGI,HAJISKII KAMA WENGINE.NAKUMBUKA NILISHAWAHI KUKUTANA NA WEMA MWAKA JUZI NIKO NAFAMILIA YANGU YAANI TULIPOMSHANGILIA ALIKUJA KWA FURAHA NAUPENDO AKATUKUMBATIA WOOTE HAKUJALI NANI MSAFI AU MCHAFU,AU TAJIRI AU MASKINI ALITUONYESHA UPENDO WAJABU SANA.MPAKA NILILIA KWAFURAHA.AKAMBEBA MTOTO TULIKUWANAE BILAKUJALI ATAMCHAFUA MAANA UNAJUA WATOTO KALIKUWA KANACHEZEA VITU TU.NAWEMA ALIKUWA KAPENDEZA ILA HAKUJALI HILO.HAKUNA KAMA WEMA NA WAKA HATAKAA HATOKEE MNACHUKIA MJUE HILO.TUJIFUNZEKUMKUBALI MTU NAKUMPA SIFA ZAKE AKIWA HAI ,SIO AKIFA NDIO MNANZA ALIKUWAGA MTU WAWATU.ACHENI ROHO MBAYA WANADAMU.WEMA ANAMAPUNGUFU YAKE KAMA BINADAMU ILA ASILIMIA KUBWA ANAROHO YAKIPEKEE.MKUBALI MKATAE BINTI SEPETU ANAKUBALI NA ANAZIDI KUPASUA ANGA LAKUKUBALIKA KILA KONA YA TZ NA AFRIKA KIUJUMLA.WE LOVE U WEMASEPETU GODBLESS U FOREVER,AMEN

    ReplyDelete
  12. Wema for life baiby.hayuko kama hao mastar wengine mashauo.majivuno.niliwahi kukutana na star mmoja hapo bongo nilimsalimia kwa ukaribu nikaomba kupiga nae picha tu unajua alinijibu nini.no ninaharaka sory.can u imagine that?akaingia kwa gari kanicha mdomo wazi adi wenzangu wakanicheka sana.ila wema hanaga hizo yeye anapenda sana fans wake.tena naomba kurudia hili nyie wajinga mnaosema team wema wajinga hawana kazi kutwa huku IG kushabikia wema nakufungua account fake .mkome maana nimesoma kwa sintah leo kuna watu wanatusema team wema.mkae mkijua ndio tunapiga kura na Diamond anapata ushinda na Wema ndio tulimpa ushinda gazeti la ijumaa kwa mapenzi yetu tulijitoa kwaupendo wakweli sio nyie feki bitches dambass mnaokoment kulaumu team za wema.mtuache tumpende hamtowezakuzuia.pumbavu zenu.

    ReplyDelete
  13. wemasepetu ni mtu wa watu anaroho nzuri sana na wala hana roho yakwanini yaani ni mtu poa sana yaani ndio mana tunampenda sana hao wengine wanaroho mbaya na ya kwanini na waswahili sana wana roho ya kimaskini

    ReplyDelete
  14. Wema ni malaya mpenda pesa, alitembeaga na mume wa dada yake likatimuliwa kurudi bongo, huku akaanza kutembea na waume za watu, alitembea hadi na chalz baba, yaani mchafumchafu, haitoshi akaamia kwa dangote, then akamcheat kutembea na mume wa mtu ck, eti kajala kumchukua anaona uchungu nyooooo, kaa dirishani ukusanye pesa za show za dangote malaya mchafu wewe unaelalamika kuchukuliwa x wako, huna hata haya, na sasa tumejua huna mapenzi ya dhati kwa dangote, hili halikutakiwa kukuuma kiasi hicho, kwani ndio style zenu wote nyie huyu akishuka huyu anapanda

    ReplyDelete
  15. wewe dada sijui kaka umetumwa...????

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item