VIDEO:It's dangerous to be "Happy" in Iran: WATU 6 WAKAMATWA
Watu 6 wamekamatwa Iran kwa kujirekodi wakicheza wimbo wa "Happy" ulioimbwa na Pharrell Williams,wimbo huu umejipatia umaarufu D...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/videoits-dangerous-to-be-happy-in-iran.html
Watu 6 wamekamatwa Iran kwa kujirekodi wakicheza wimbo wa "Happy" ulioimbwa na Pharrell Williams,wimbo huu umejipatia umaarufu Dunia nzima kutokana na ubunifu uliotumika kuanzia uimbaji,uchezaji hata mashairi yake.
Katika video hiyo inawaonesha wanaume 3 na wadada 3 wakiwa maeneo tofauti tofauti mitaa ya Iran.
Baada ya video hiyo kusambaa mtandaoni serikali ilituma jeshi la polisi kufanya uchunguzi waliohusika kuandaa video hiyo na wakatiwa nguvuni.
Wadada katika video hiyo huenda wakashtakiwa kwa kuacha maungo yao wazi bila kufunika na hijabu baada ya Iran kupitishia sheria mwa 1979 kuhusu mavazi kwa watoto wa kike.
Jumuia za kimataifa na makundi mbali mbali ya haki za binadamu vimelaani tukio hilo na kuliita ni kuingilia uhuru na furaha ya mtu binafsi.