DISQUS SHORTNAME

VIDEO: KIFO CHA ADAM KUAMBIANA KWA MAMA NGOMA MPAKA MOCHUARI MUHIMBILI

  MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge ...

 
MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya kuamkia leo. Marehemu alianguka chooni akiwa location katika Gesti ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar. Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
SOURCE: GLOBAL

Related

ZILIZOTUFIKIA 1757332201382154632

Post a Comment

  1. very hard n sad,mungu akupokee brada!

    ReplyDelete
  2. du very sad.R.I.P adamu lo jamani duniani tunapita tupendane

    ReplyDelete
  3. Kila nafsi itaonja mauti

    ReplyDelete
  4. So sad jamani Adam dah... Innalillah wainnaillah rajiun. Gone to soon. R.I.P

    ReplyDelete
  5. So sad jamani Adam dah... Innalillah wainnaillah rajiun. Gone to soon. R.I.P

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item