VIDEO: DIAMOND AONGEA NA JESTINA GEORGE KUHUSU BET NOMINATION 2014
Jana nilibahatika kuwa mtu wa kwanza kumhoji Superstar Diamond Platnumz mara tu baada ya kuwa nominated kwenye BET Awards za Marekani kw...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/video-diamond-aongea-na-jestina-george.html
Jana nilibahatika kuwa mtu wa
kwanza kumhoji Superstar Diamond Platnumz mara tu baada ya kuwa
nominated kwenye BET Awards za Marekani kwenye kipengele cha Best
International Act. Diamond ameeleza furaha yake kupitia hapa hapa
Jestina George Online TV. Check him out below.
Samahani kwa kelele za upepo NA QUALITY ya video.
Samahani kwa kelele za upepo NA QUALITY ya video.
