DISQUS SHORTNAME

VANESA MDEE ANA MCHANGO MKUBWA KWA JINA LA DIAMOND KUTAJWA KWENYE TUZO ZA BET?

MSANII wa Bongo Fleva , Vanessa Mdee( v – money) amefunguka kuwa yeye alikua  miongoni mwa majaji waliopiga kura kwa ajili ya wasanii wal...


MSANII wa Bongo Fleva , Vanessa Mdee( v – money) amefunguka kuwa yeye alikua  miongoni mwa majaji waliopiga kura kwa ajili ya wasanii waliotajwa kwenye categories za tuzo za BET Awards 2014 .

Majaji hao wanakua 500 kutoka barani Africa ,UK na Marekani ambako tuzo hizo zinafanyika kila mwaka tangu mwaka 2001 ,na mwaka huu msanii Diamond Platnumz ataiwakilisha Tanzania kwa mara ya kwanza
Vanessa amefunguka mchakato ulivyokuwa na kura yake ilienda kwa nani.

Related

BONGO FLAVA 3267821898674546900

Post a Comment

  1. Awwwww katutangazeeeee shem letu diamond

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item