UKITAKA KUMPIGISHA SHOW DIAMOND UJIPANGE SANA!SOMA GHARAMA ZAKE!
Diamond Platnumz atazidi kuwa si msanii tu wa kawaida bali ni moja kati ya wasanii wengi wa kimataifa.ukiacha pesa anayotoza treatment na...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/ukitaka-kumpigisha-show-diamond.html
Diamond Platnumz atazidi kuwa si msanii tu wa kawaida bali ni moja kati
ya wasanii wengi wa kimataifa.ukiacha pesa anayotoza treatment na mahitaji
yake hadi kumpandisha kupiga show
moja si ya kitoto, kaa utulie usikilize mahitaji haya ya Diamond: Kwanza bila kumtonyesha kuanzia milioni 45 kwenda juu, utaishia kuongea naye kwenye simu tu, bila hata ya kuona sura
yake, achana na hiyo basi kwanza kama
umeshatenga hilo fungu na kufanikisha kumuita kupiga ku-sign contract yake, inabidi umsafirishe kwa private jet au first class plane, akishatua uwe umeshandaa presidential suit katika hoteli yeyote yenye hadhi ya nyota tano, kama ni Bongo ni Serena hotel pale wakati huohuo uwe umashatenga vyumba maalumu vikubwa kwa ajili ya team yake wakiwemo Dancers,camera man,dj , mlinzi wake na msaidiz, microphone ya
pekee na vyakula atavyohitaji yeye, viwe teyari umeshaweka order vitengenezwe, kama anavyotaka yeye.
(U-ghari wa diamond unatokana na yeye mwenyewe kuwa brand kubwa, anauwezo wa kujaza uwanja peke yake,lakin pia maandakiz ya kazi zake,nyimbo ama video,hu-invest gharama kubwa,mfano number 1 video orignal na rmx ilitumika zaidi ya million 80,lakin pia ana team aliyowaajili anahitaj awalipe ) Kama ulikuwa unamchukulia Dangote easy, jipange!.