UGOMVI WA WEMA NA KAJALA WABUNGE WAINGILIA KATI
UGOMVI WA KAJALA , WEMA WABUNGE WAINGILIA KATI Mambo bado mabaya ! Ule ugomvi wa mashosti wawili nyota katika tasnia ya sinema Bongo, W...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/ugomvi-wa-wema-na-kajala-wabunge.html
UGOMVI WA KAJALA , WEMA
WABUNGE WAINGILIA KATI
Mambo bado mabaya ! Ule ugomvi wa mashosti wawili nyota katika tasnia ya sinema Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘ Madam’ na Kajala Masanja ‘ K ’ , sasa umechanja mbuga hadi kufika mjengoni , ambako
inadaiwa kuwa baadhi ya wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,wameingilia kati ili kuumaliza, Risasi Jumatano linakuhabarisha .
Wema Isaac Sepetu ‘Madam ’ na Kajala Masanja ‘ K ’, wakiwa kwenye pozi enzi za ushosti wao . Kwa mujibu wa chanzo makini, baada ya mvutano wao wa muda mrefu , wabunge hao walimwita Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity , Steven Mengere ‘ Steve Nyerere ’ na kumuuliza
kama ni kweli wawili hao hawaelewani.Inadaiwa kuwa Steve alikiri kutokuwepo kwa maelewano kati ya wawili hao ambao awali walikuwa ni marafiki pete na kidole. Ilisemekana kwamba baada ya kuhakikishiwa
kuwepo kwa ishu hiyo , baadhi ya wabunge hao, hasa wapenda michezo na sanaa, walimuagiza Steve kulifanyia kazi tatizo hilo haraka , akishindwa basi awapelekee ili wawakalishe chini . Wema Isaac Sepetu ‘ Madam’. “Walimwambia Steve kwamba ni kitendo cha aibu kwa mastaa wakubwa kama hao kugombana, hiyo inawapunguzia heshima kwani hiki kilikuwa ni kipindi cha kushikamana kwa umoja ili kuisogeza mbele
tasnia yao badala ya kulumbana ,” kilisema chanzo hicho kikikataa kutaja majina ya wabunge hao na kutaka aulizwe Steve. Gazeti hili liliwasiliana na Steve juu ya ukweli wa madai hayo, ambaye alikubali kuwa ni
kweli baadhi ya wabunge wamemtaka kumaliza bifu kati ya waigizaji hao maarufu Bongo kwani nyuma yao kuna vijana wengi wanatamani kuwa kama wao . Kajala Masanja . Risasi Jumatano lilizungumza na mbunge wa Kinondoni Idd Azan ambaye alisema hata yeye atawaunga mkono wabunge watakaojitolea kuwasuluhisha mastaa hao . Source: Globel

km n kweli Tanzania inauzunisha sana matatizo yote na umaskini uliokithiri wabunge wanapata muda wa kuongelea ugomvi wa Malaya kugombea mboo tena ya mume wa mtu??SMfh kwakweli !!!
ReplyDeleteSure
DeleteHahahahha jmn mbona kugombea mboo
ReplyDeleteHAO WABUNGE NAO MAMBURULA TUU YAANI HJAWAONI KAZI YAKUFANYA MPAKA KUJINGIZA UGOMVI WAKIJINGA KISA HUYO MALAYA KAJALA KUCHUKUA MABWANA WAWATU KILA SIKU.ANATAKIWA ABADILIKE LASIVYO ATAKUJA MWAGIWA TINDIKALI SIKUMOJA.SHAMIMU ALIMVUMILIA ILA HATOKAA AMSAMHE NAKUONGEA TENA.DECUUTE ANAMCHUKIA ADI LEO HII KUMCHUKULIA BWANA WAKE MPOPO.NAWEMA HAKUWAANAJUA HILO LA CK.AKAMTETEA WATU WAACHE KUMSEMA RAFIKI YAKE.KAJAKUCHUKIA HUYO KAJALA MALAYA ALIPO MTENDEA UNYAMA KULE ARUSHA YAANI KAJALA ALITHUBUTU KWENDA KUMSEMA WEMA KWA WATU WALIKUWA WAMEFATANA KWENDA ARUSHA KUWA AMEMUAZIMA LAKI TATU NAMILIONIMOJA.KISA WEMA ALIKUWA ANAKADI HAKUWANAPESA MKONONI CASH.AKAMWAMBIA HUYO MNBWA KAJALA ATAMLIPA KESHO AKITOA PESA KWA ATM.EEH BIBIE KAANZISHA KUMSENGENYA WEMA.NDIO WEMA AKAKASIRIKA AKAENDA MTOLEA PESA ZOTE AKAMLIPA KWA HASIRA.YAANI LINASHAU WEMA WOTE ALIOMTENDEA AMAKWELI TENDA WEMA UENDEZAKO.SASA MBAYA ZAIDI NAHILI LA CK LIKAJA KUTIBUKA.NDIO WEMA AKAONA ALAAA KUMBE NAKULANAE NALALA NAE NACHEKA NAE NAMCHUKULIA KAMA DADA ANGU KUMBE NIZAIDI YA MUUAJI ,MCHAWI,MCHONGANISHA ANAWEZA HATA KUAMBIWA ANIWEKESUMU AKANIUA BASI .KAMA ANAROHO MBAYA NAMNA HII.NAKUBWA ZAIDI NIPALE MDGO WAKAJALA ALIPOMFUNGULIA WEMA ACOUNT FAKE YAKUMTUKANA MATUSI YOOTE ALIKUWA ANATUMWA NA KAJALA YAANI YALE MASIRI WALOKUWA WANASHEA WEMA NAKAJALA ENZI HIZOO NDIO YAKAJAKUWA MATUSI NASIRI NJENJE ZANDANI.YANI YALIKUWA MAMBO YAKUSHEA KAMA NDGU ,KWAKWELI.MIMI KAMA NDGU WAKARIBU WAKAJALA NISINGEPENDA KUTAJA JINA ILA KAJALA AMENISHANGAZA NAKUNISIKITISHA SAANA SANA.USEMA LAUKWELI WEMA ALIJITOLEA SANA KWA KAJALA ALIKUWA AKISAPOTI KWAKILAKITU KAMA DADAKE.YAANI ZAIDI YA WALE DADAZAKE WA MAREKANI.KAJALA AKAWA AKILEWA TU ANAONGEA ,MAMBO MENGI SANA YAWEMA SIRI ZOOTE ANAWADITHIA WATU NAWALISHAJUA AKILEWA HANSTAA WAKAWA WANAMPA POMBEE WEE ANANZAKUROPOKA.ILA YAKOWAPI YAMEMGEUKIA SASA.TULIMUONYA ILA KIBURI NDIHICHOO.ANACHOTAKIWA AKAMPIGIE MAGOTI WEMA AMEMKOSEA SANA YULE BINT SEPETU.ALAFU WEMA HAJAWAHI KUMSEMA KAJALA WALA KUJIBIZANA NAE,HABARI NDIO HIYOO.TENA NA SASA HIVI CK ANAKUJA ADI HOME KWAKWE USIKUU,
ReplyDeleteMwenzetu hapo juu vp kutuandikia huu mgazeti kutuchosha mwsho tupofuke bure!!!
Deletewatanzania ndo mana mwafeli wavivu kusoma
ReplyDelete