TUMEPOKEA MAOMBI MENGI YA KU REPOST HIKI KIPINDI KAJALA @ TAKE ONE
Kama una jambo lolote usite kutuandikia ujumbe mfupi katika form iliyo mkono wa kulia chini ama kwa wanaotumia simu ni jipange101@gmail.co a...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/tumepokea-maombi-mengi-ya-ku-repost.html
Kama una jambo lolote usite kutuandikia ujumbe mfupi katika form iliyo mkono wa kulia chini ama kwa wanaotumia simu ni jipange101@gmail.co au info@jipange101.com....WE GOSSIP COURT WE GOT GOSSIP COP

Kajala umeongea kitu cha msingi sana kuwa hata ukilipa hizo fedha haziwezi kufanana na utu aliokufanyia. Kiukweli Mungu atakutangulia YATAISHA TUU
ReplyDeleteWhy did she take her child to the show face your own problems alone mwaache mtoto asome thats not what a real mother does shes too young to be going through the shit you've put yourself into ungetulia kwa mwanaume mmoja hungeyapitia hayo unayo yapitia what will become of yoyr child wataka akuwe ka wewe
ReplyDeletevery sad
ReplyDeleteyataisha tu hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha bhana kajala u just relax hiyo ni part of life
ReplyDeleteJaribu Kuwa mama bora,wote ni wazazi ila we unezid,punguza umalaya,mwanao akiwa na tabia km zako utamlaumu?
ReplyDeleteKwakweli kajala na mwanao mnatia huruma sana ila majuto ni mjukuu kajala ulipanda mbegu iliyoodha hayo ndo mavuno yako ss hv utajuta ila too late pale pale ungejishusha na kuyamaliza lkn uridiriki kujifanya hata jina la wema umelisahau pole tafuta watu wakubwa wayaongee yaishe
ReplyDelete