DISQUS SHORTNAME

TIZAMA MAMA WA WATOTO 14: Inside 'Octomom's' home

Ni mama wa kimarekani anaitwa Nadya Suleman mtandaoni anajulikana kama Octo mom,ni mama wa watoto 14 ambao alijifungua January 2009 na wa...


Ni mama wa kimarekani anaitwa Nadya Suleman mtandaoni anajulikana kama Octo mom,ni mama wa watoto 14 ambao alijifungua January 2009 na watoto wote ni wazima na afya njema tangu 2009.Kwa dakika zako 4 tu hebu tulia msikilize changamoto anazokutana nazo kulea na kutoka kwa majirani



Related

KWINGINEKO DUNIANI 4024759630888445843

Post a Comment

  1. Uwii kwa haya maisha yetu ya bongo nikijifungua hata wanne tu nazimia kwa haya maisha yalivyo magumu

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item