DISQUS SHORTNAME

TASWIRA MBALI MBALI WAKATI WA KUREKODI VIDEO MPYA YA CHEGE NA TEMBA KUTOKA TMK WANAUME

Sehemu ya Wadau wa Muziki wanaoshiriki kwenye video hiyo ni pamoja na Julio,Madee na Jokate kama wanavyoonekana pichani hapa. Wasanii ...

Sehemu ya Wadau wa Muziki wanaoshiriki kwenye video hiyo ni pamoja na Julio,Madee na Jokate kama wanavyoonekana pichani hapa.
Wasanii wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka TMK Wanaume Family,Temba na Chege wakiwa ndani ya ndege wakati wakiendelea Kurekodi Video yao mpya ambayo itatoka hivi karibuni.









Related

BONGO FLAVA 3788361518136694530

Post a Comment

  1. Kajokate kazuri xana aka katoto cjui Diamond aliogpa nini kubadili dini apo lingewekwa liwema sepetu na ile mihips minne cjui ata km vdeo ingefika popote ila hii i swear itapasua

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item