TAARIFA ZAIDI ZA KIFO CHA ADAM KUAMBIANA
Hizi ni taarifa zingine za ghafla ambazo Tanzania tumezipokea kwa mshtuko na masikitiko ni kifo cha miongoni mwa- madirector wa Tanzania a...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/taarifa-zaidi-za-kifo-cha-adam-kuambiana.html
Hizi ni taarifa zingine za ghafla ambazo
Tanzania tumezipokea kwa mshtuko na
masikitiko ni kifo cha miongoni mwa- madirector wa Tanzania ambao ni waigizaji pia,huyu ni Adam Kuambiana ambaye taarifa
za kifo chake zimeanza kusambaa mchana wa Mei 17. Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere amesema>>’Mwenzetu Adam Philipo Kuambiana amefariki akiwa Location ana shoot,mimi nimepigiwa simu saa 3 asubuhi kuwa hospitali pale Mwenge niende nikahakikishe kuwa ni kweli Adam amefariki na
kweli kufika pale nikamkuta Adam Kuambiana amefariki’ ‘Sasa hivi tumetoka Muhumbili kwenda kumsitiri mwenzetu,taarifa inasema wakati yupo location alikua analalamika tumbo linamuuma linamuuma kumfikisha hospitali ndipo umauti ukamfika’.
Kwa mujibu wa Steve Nyerere amesema kuwa marehemu Adam kuambiana alikua ana shoot filamu yake mpya ambayo ndani yake amewashirikisha wasanii kadhaa wa Bongo fleva akiwemo Q Chillah,taratibu za mazishi na msiba kwa ujumla