Mtumzima kuwa muongo ni mbaya sana Jan baada ya washabiki kukuchamba kwann umemvunjia heshima nakukwambia rusha picha ya mkiwa pamoja ukaweka picha ya zamani. Nilianza kukudharau kuanzia kipindi wemasepetu kumuacha CL ikawa endlessfm au bestizo huko Ig wakiweka picha ya wema unacommets etim unawaza kukosa madola ya CL kwani ulisikia pesa nikila kitu? Mbona huyo CL na mipesa yake aliachwa mchana kweupe? Huwa nakushangaa sana ukisha pewa makavu ndiyo unajifanya kumtaja Mungu. Huoni aibu mi nadhani bongo movie waache km walivyo we rudi kwenye comedy na ubakie huko ndiyo panakufaa maana tangia uingie bongo movie umekuwa ukiwachonganisha wasanii nakujifanya mpatanishaji kinafi
Huyu steve jamani me namshangaaaaa, na cjuu kwa nini anamchukia wema! Steve ni kuadi namba moja mjini hapa na ndo huwa anawakuadia actress wengi bongo hii. Huyu kaka ndo aliyemkuadia abdul wa shamim kwa kajala na payment ikawa kupewa mil4 ya kodi, huwa namshangaaa anavyojifanya wasanii wa kike this wasanii wa kike that! Growup steve time haisimamiii, imagn ukagombane na mtu kama JB unahs nani atakuamini ww na uswahili wako huo,,,,,, ptuuuuuuuu
SADACTAA MDAU KAMA ULIKUWEPO KIPINDI KILE KUTWA YUKO NA NSEMBO ANAMFUATA ADI KWENYE OFISI YAKE KUUTWA,KUMBE ALIMUNGANISHA NA KAJALA NILIKUJA KUWAKUTA WOTE WATATU KWAKAJALA SIKUMOJA SIKUAMINI MACHO YANGU,NIKAJASIKIA KUMBE NI KAZI YAKE ANDUNJE KUNGANISHA MADEMU KWA MATAJIRI HAPA MJINI.MNAFKI MBEYA MTUMBAYA SANA HUYO STEVE KAMA HAMJUI.HATA HIZO PICHA UNAONA AMEWEKA KWA PAGE YAKE IG YUKO KWA DAVID MOSHA UJUE TAYARI ANAMKUWADIA MWANAMKE HAPO YAANI YUPO KAZINI.NDIOKAZI YAKE DALALI WAKUKUWADIA WADADA MUJINI.NANCY KUWA MAKINI NAHUYO MBWA ANAKUWADIA MUMEO USIMCHEKEE ANAVYUKJA KUKAA KWENYE MASOFA HAYOO .MH MTU HATARI HUYOO
Sijaona km mmesuruhisha au kutumia busara.....hebu juen chanzo cha tatizo ndo mtowe lawama....km mliamin stor mbona JB anakosa pia alimnyima mwezake rizki maisha yenyewe yako wap.....hata ww ungejua kiwa rafiki uako au mtu wako wakaribu kakubania mafanikio au issue fulan ambayo ingekiongezea kibato je huyo mtu ungemuelewa au mnasema kwakuwa Steve...wote tunajua maisha wanayoish wasanii wakibongo movie jadhikiz mahitaji yao yote so leo inapotokea kitu chakufanya mkono uwendekinywan ndiyo afuen yao
Tuangalie chanzo cha tatizo inamaana steve kuna siku aliwah kumfanyia mtu km ilivotokea kwa JB ndo mjiulize kunan JB ndo wakulaumiwa kwann amfanyie hvo mwenzie ye huwaga kilaara anasema wasanii wa bongo movie hawapendan so yy haya ndiyo mapnz anayoonesha
Mtumzima kuwa muongo ni mbaya sana Jan baada ya washabiki kukuchamba kwann umemvunjia heshima nakukwambia rusha picha ya mkiwa pamoja ukaweka picha ya zamani. Nilianza kukudharau kuanzia kipindi wemasepetu kumuacha CL ikawa endlessfm au bestizo huko Ig wakiweka picha ya wema unacommets etim unawaza kukosa madola ya CL kwani ulisikia pesa nikila kitu? Mbona huyo CL na mipesa yake aliachwa mchana kweupe? Huwa nakushangaa sana ukisha pewa makavu ndiyo unajifanya kumtaja Mungu. Huoni aibu mi nadhani bongo movie waache km walivyo we rudi kwenye comedy na ubakie huko ndiyo panakufaa maana tangia uingie bongo movie umekuwa ukiwachonganisha wasanii nakujifanya mpatanishaji kinafi
ReplyDeleteBwahhhhhhhhhhh sema ww mdau
ReplyDeleteHuyu steve jamani me namshangaaaaa, na cjuu kwa nini anamchukia wema! Steve ni kuadi namba moja mjini hapa na ndo huwa anawakuadia actress wengi bongo hii. Huyu kaka ndo aliyemkuadia abdul wa shamim kwa kajala na payment ikawa kupewa mil4 ya kodi, huwa namshangaaa anavyojifanya wasanii wa kike this wasanii wa kike that! Growup steve time haisimamiii, imagn ukagombane na mtu kama JB unahs nani atakuamini ww na uswahili wako huo,,,,,, ptuuuuuuuu
ReplyDeleteSADACTAA MDAU KAMA ULIKUWEPO KIPINDI KILE KUTWA YUKO NA NSEMBO ANAMFUATA ADI KWENYE OFISI YAKE KUUTWA,KUMBE ALIMUNGANISHA NA KAJALA NILIKUJA KUWAKUTA WOTE WATATU KWAKAJALA SIKUMOJA SIKUAMINI MACHO YANGU,NIKAJASIKIA KUMBE NI KAZI YAKE ANDUNJE KUNGANISHA MADEMU KWA MATAJIRI HAPA MJINI.MNAFKI MBEYA MTUMBAYA SANA HUYO STEVE KAMA HAMJUI.HATA HIZO PICHA UNAONA AMEWEKA KWA PAGE YAKE IG YUKO KWA DAVID MOSHA UJUE TAYARI ANAMKUWADIA MWANAMKE HAPO YAANI YUPO KAZINI.NDIOKAZI YAKE DALALI WAKUKUWADIA WADADA MUJINI.NANCY KUWA MAKINI NAHUYO MBWA ANAKUWADIA MUMEO USIMCHEKEE ANAVYUKJA KUKAA KWENYE MASOFA HAYOO .MH MTU HATARI HUYOO
DeleteSijaona km mmesuruhisha au kutumia busara.....hebu juen chanzo cha tatizo ndo mtowe lawama....km mliamin stor mbona JB anakosa pia alimnyima mwezake rizki maisha yenyewe yako wap.....hata ww ungejua kiwa rafiki uako au mtu wako wakaribu kakubania mafanikio au issue fulan ambayo ingekiongezea kibato je huyo mtu ungemuelewa au mnasema kwakuwa Steve...wote tunajua maisha wanayoish wasanii wakibongo movie jadhikiz mahitaji yao yote so leo inapotokea kitu chakufanya mkono uwendekinywan ndiyo afuen yao
ReplyDeleteTuangalie chanzo cha tatizo inamaana steve kuna siku aliwah kumfanyia mtu km ilivotokea kwa JB ndo mjiulize kunan JB ndo wakulaumiwa kwann amfanyie hvo mwenzie ye huwaga kilaara anasema wasanii wa bongo movie hawapendan so yy haya ndiyo mapnz anayoonesha
ReplyDelete