SIKIA KASHESHE LA HUYU DADA ALIYEWAHI KUHOJIWA NA JOYCE KIRIA KIPINDI CHA WANAWAKE LIVE
Ufafanuzi; Huyu dada alidanganya kwamba alichukuliwa kijijini kwao Moshi na mama aliye dai hajafanikiwa kupata mtoto, hivyo alimchukua i...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/sikia-kasheshe-la-huyu-dada-aliyewahi.html
Ufafanuzi;
Huyu dada alidanganya kwamba alichukuliwa kijijini kwao Moshi na mama aliye dai hajafanikiwa kupata mtoto, hivyo alimchukua ili akamlee na kumsomesha kama mwanae, mama huyo pia aliwachukua na watoto wengine kama 10 hivi hapo kijijini na kuondoka nao, lakini walipofika DSM walipelekwa saluni na kutengenezwa nywele pamoja na kutindwa nyusi, na baada ya hapo wakapelekwa kwenye
nyumba moja ya ghorofa na kila mmoja akapewa chumba chake chenyekitanda na Box la condom.
alikuja baba mmoja na kumwingilia Ki***me na maumbile na baadae akamchoma sindano ya Nusu kaputi na kumfanyia operation na kutoa kitu tumboni kwake , kitu ambacho kipo kama ki-mfuko chenye damu damu. yeye hakufahamu kitu hicho ni kitu gani.... maisha yaliendelea hivyo kwa kufanyishwa biashara ya Ng**no kwa muda hadi alipofanikiwa kutoroka. Hivyo ndivyo alivyoeleza katika kipindi cha wanawake live jumanne iliyopita.
JINSI ALIVYOJIELEZA JUMANNE HII BAADA YA KUFIKISHWA KITUO CHA POLISI
1. hakuchukuliwa na mmama kwa nia ya kwenda kusomeshwa na kulelewa, bali watoroka wenyewe alikwa na wenzao 10.
2.operation aliyofanyiwa ilikuwa ni kwa ridhaa yake mwenyewe , na ilikuwa ni kwaajili ya kufunga kizazi ili asizae tena.
3.hakuna danguro lolote alilokuwa amefungiwa.
4. ameomba radhi na msamaha kwa kudanganya ili aweze kusaidiwa
KWA MUJIBU WA JOYCE KIRIA
kuna watu walipiga simu kipindi EATV na kusema huyu binti ni tapeli na ameshapita maeneo mbalimbali na kujitambulisha kwa style tofauti tofauti kulingana na mazingira, ili apewe fedha. amewahi kupita takribani makanisa matatu na kusema kwamba yeye alikuwa ni msukule na alikuwa anatumikishwa kichawi....
baada ya hayo yoote ilibidi akimbie na kutoroka
@JAMII FORUM


Duh huyu dada ni noooma kha
ReplyDeleteDuh huyu dogo ni sheeeda heee!
ReplyDelete