SALAMA JABIRI ANA COPY NA KUPASTE KWA MTANGAZAJI MAARUFU WA MAREKANI AMBAE AMEOA MSICHANA MWENZIE (MSAGAJI)
Salama Jabiri aka Salama J nadhani wengi hapa Bongo tunamuelewa... IN SHORT kwasasa ni ana HOST kipindi cha MKASI kinachorushwa na EATV....
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/salama-jabiri-ana-copy-na-kupaste-kwa.html
Ellen DeGeneres (1958) ni mtangazaji wa TV, Muandishi, Muigizaji, na vilevile ni mchekeshaji raia wa Marekani..ambae pia alikubwa na kashfa kubwa ya usagaji na imebainika kua anaishi kinyumba na msichana mwenzie.
Kufanana kwake na Salama: Wote ni wanawake, wanaofanya kazi kwenye tasnia moja (TV personalities) Salama akiwa kwasasa ana HOST mkasi (anahoji watu maarufu) Ellen DeGeneres naye ana HOST Ellen DeGeneres Show (anahoji watu maarufu) Hii sio ishu sana...Ishu ipo hapa (Mavazi na Vituko) Mavazi: Wote wawili wanependa kuwvaa mavazi ya kiume....(Kwamtazano wangu) Umegundua kitu hapo....Hawavai mkanda ATI! HATUNA UHAKIKA NA KUFANANA KWAO KATIKA SWALA LA USAGAJI


Nasikia umehukiwa IG ukirudi sasa tutajuaje 😃😃😃😃😃😃😃 duuuu ulikosea kuweka email yako ndugu hebu tujuze kupitia humu plzzzz
ReplyDeletekwani hao wamarekani wana nini kikubwa mtu akiamua jinsi ya kuishi apendavyo utasikia amemuiga flani achen ushamba.
ReplyDeleteNani asiyejua kuwa salama msagaji....had lulu kamsaga....wanafanana kila kitu bado kuoa tu kwa salama
ReplyDelete