DISQUS SHORTNAME

RAYC APIGWA KIJEMBE KUTOKANA NA KUJICHUBUA MNO

Hali si shwari baada yamtangazaji maarufu  nchini kenya Joe Muchiri kuvamia instagram na  kuweka comments mbaya kuhusiana na kujichubua kw...

Hali si shwari baada yamtangazaji maarufu  nchini kenya Joe Muchiri kuvamia instagram na  kuweka comments mbaya kuhusiana na kujichubua kwa Ray C.
Mtangazaji huyu maarufu wa Capital F.M aliandika hivi “Ray C aka Ray Casper the friendly ghost ..Smh who slapped her  face with a bag of flour on the face. Elephant  arms ndio zake Looool momo tingz…” yaani akimaanisha Ray C ni jini rafiki yake akimuuliza
ni nani aliyempiga na gunia la unga mweupe usoni mwake.Duh! noma sana….we unaonaje hili
swala?

Related

INAHU 3730953063422513196

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item