DISQUS SHORTNAME

Rais wa nchi alietokwa machoziakilihutubia taifa kwenye TV.

Huwa matukio kama haya au hisia kama hizi sio rahisi kuonekana waziwazi kwa kiongozi wa nchi pale anapohutubia au kuzungumza na Taifa kw...


Huwa matukio kama haya au hisia kama hizi
sio rahisi kuonekana waziwazi kwa kiongozi
wa nchi pale anapohutubia au kuzungumza na
Taifa kwa njia ya TV.

Imetokea kwa rais wa Korea Kaskazini Park
Geun-hye akilihutubia taifa kuhusu kivuko
kilichozama April 16 2014 na kuua watu
wapatao 300 huku wengi wao wakitajwa kuwa
Wanafunzi ambapo kwenye hii hotuba rais
aliomba radhi kwa uzembe uliofanyika kwenye
vikosi vya uokoaji.
Jumapili iliyopita Rais huyu alihudhuria ibada
kanisani kuwaombea waliofariki kwenye ajali
lakini pia alikutana na ndugu waliopoteza
watoto/ndugu zao kwenye kivuko hicho
ambapo waliozembea wanaadhibiwa sheria.
Miili 286 ilipatikana lakini mpaka sasa 18
haijaonekana, watu 172 wakiwemo 22
Wafanyakazi wa kivuko hicho kati ya 29
walinusurika kwenye ajali hii.
Ukitaka kumuona rais mwenyewe akiongea kwa
hisia na kutokwa machozi cheki video hapo chini.

Related

KWINGINEKO DUNIANI 5035088011672457714

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item