PICHA ROAD TO MAMA: DIAMOND AKIPAFOMU
Msanii ambaye yupo juu kwenye gemu ya muziki wa kizazi kipya Diamond akifanya onesho LIVE chini ya udhamini wa MTVBASE ROAD TO MAMA iliyofan...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/picha-road-to-mama-diamond-akipafomu.html
Msanii ambaye yupo juu kwenye
gemu ya muziki wa kizazi kipya
Diamond akifanya onesho LIVE chini
ya udhamini wa MTVBASE ROAD TO
MAMA iliyofanyaka Club Bilicana
usiku wa Ijumaa May 16, 2014
Diamond na vijana wake WASAFI
Classic wako njiani wanaenda
kufanya yao huko london wakisindikizwa na
Ommy Dimpoz ambaye nae
atazindua wimbo wake mpya
'NDAGUSHIMA' live. Hii event si ya
kukosa maana ni show moja tu and I
mean moja tu. Then leo atakuwa pale
Oasis london















