DISQUS SHORTNAME

Picha: Joh Makini akizungumziamiwani za brand ya Weusi zenyemaandishi ‘Gere’ yanayoonekana

Weusi wametambulisha miwani za brand yao ambazo zina maandishi ‘Gere’ yanayosomeka kwa nje. Joh Makini na Ommy Dimpoz wakiwa wamevaa miw...


Weusi wametambulisha miwani za brand yao ambazo zina maandishi ‘Gere’ yanayosomeka kwa nje.
Joh Makini na Ommy Dimpoz wakiwa wamevaa miwani za Weusi Akiongea na Bongo5, Joh Makini amesema miwani hizi zitaingia rasmi sokoni wiki hii.
“Ile alidesign mshkaji wetu mmoja wa Arusha,
alicreate hiyo akachukua miwani fulani plain akatengenezea maandishi fulani ambayo yanasomeka ‘Gere’ kwenye hizi glass,” amesema Joh. “Alivyoileta tukaona ni poa tukaingiza kwenye bidhaa za Weusi,”ameongeza. Joh Makini amesema wiki hii watatangaza bei ya miwani hizo za rangi nyeusi. Hadi sasa bidhaa za brand ya Weusi ni kofia, tracksuit, top na t-shirt. “Zinaenda poa sana kwa mfano mzigo tulioenda
nao Moshi juzi kwenye tour za Kili ziliishia pale pale uwanjani kwahiyo utaoni ni jinsi gani watu
bado wana kiu za kuvaa brand ya Weusi.”

Related

BONGO FLAVA 7517420649199992646

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item