DISQUS SHORTNAME

Picha: Beyonce na Jay Z wanacheka kama hakunakilichotokea, Solange aungana na dada yake kwenye harusi ya Kelly Rowland

Kwa ile video iliyovuja inayoonekana mdogo wake Beyonce, Solange akimshambulia kwa ngumi na mateke shemeji yake, Jay Z, wengi walitegemea...


Kwa ile video iliyovuja inayoonekana mdogo wake Beyonce, Solange akimshambulia kwa ngumi na mateke shemeji yake, Jay Z, wengi walitegemea kuwa wazazi hao wa Blue Ivy wangekuwa wamenuniana kwa sasa.
Lakini pamoja na kuwa bado ukweli wa chanzo cha timbwili hilo haujajulikana, The Carters wameendelea kuonekana kwenye matukio mbalimbali ya hadhara wakiwa na furaha, wakicheka na wakionesha upendo kama hakuna kikubwa kilichotokea.
Wawili hao waliamua kwenda kushuhudia mechi ya mpira wa kikapu
kati ya Brooklyn Nets na Miami Heat kwenye uwanja wa Barclays Center jijini New York, Jumatatu hii.
Pengine watu wanachotakiwa kufahamu ni kuwa The Carters ni binadamu kama wengine kwamba
hukugombana na hupatana kama walivyo wapenzi ama wanandoa wengine. Katika hatua nyingine
mtandao wa UsWeekly, umedai kuwa Beyonce na Solange walisafiri Ijumaa iliyopita hadi Costa Rica
kwenda kuhudhuria harusi ya Kelly Rowland na Tim Witherspoon.Tazama picha zaidi.

Related

KWINGINEKO DUNIANI 6559012888015085799

Post a Comment

  1. Heeee watu waliyofundwa wakafundika ulimwengu utabakia kugess tuuu hawata pata jibu gooo jinsi walivyo wanavyojua kuficha manbo yao. Wema jifunzege hapa

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item