DISQUS SHORTNAME

PENNY: SITAKI KUMSIKIADIAMOND

ZILIPENDWA wa msanii wa muziki wa kizazi  kipya , Nasibu Abdul ‘ Diamond ’ , Penniel Mungilwa ‘ Penny’ , amefunguka kuwa hataki kumsikia ...


ZILIPENDWA wa msanii wa muziki wa kizazi  kipya , Nasibu Abdul ‘ Diamond ’ , Penniel Mungilwa ‘ Penny’ , amefunguka kuwa hataki kumsikia mpenzi wake huyo wa zamani kwa  madai kuwa amefungua ukurasa mpya wa  uhusiano na mtu ambaye hata hivyo hakuwa tayari kumweka wazi .
Mtangazaji Penniel Mungilwa ‘ Penny ’.Penny alisema hayo hivi karibuni jijini Dar wakati akizungumza na gazeti hili lililotaka
kujua anazungumziaje tuzo saba za Kilimanjaro alizojizolea Diamond ambapo majibu yaliyopatikana yalikuwa: “Wanaotakiwa kuzungumzia hili ni mkewe na ndugu zake , mimi sitaki.” Nasibu Abdul ‘Diamond’ .
Alipoulizwa mke wa Diamond ni nani alisema : “Mnamjua” na kuicha historia ikibaki kuwa Penny na msanii huyo waliwahi kuwa katika mapenzi mazito ya njiwa kabla ya  kumwagana na mwanamuziki huyo kumrudia
mpenzi wake wa zamani , Wema Sepetu ,ambaye mwenyewe anapenda aitwe mke mtarajiwa. Hahahaha!

Related

BONGO FLAVA 7152670020934830960

Post a Comment

  1. mumuache a move on mtoto wa watu, hasa wewe mwenye blogu ambae ni wema mwenyewe, ovyoooooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wala hata mwenye hii blog sio wema kama unavosema ww. Mumuache wema mnamuangama mno@anonymous

      Delete
    2. aachwe nini hana lolote zakayo huyu msagaji kama wolper

      Delete
  2. Hehehhehehee nachekaaa maana shogaa alikuwa na vishindooo leo haki hata kumsikiaaa heheheheheeee loh!

    ReplyDelete
  3. Aaaaahhhhh wee mbwa hapo juu nani alikwambia hii blog ya wemq msenge kweli wewe hebu mumuache wema pumbavu zako mwenye hii blog humjui au unalopoka tu fyuuuuuuuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. shabiki gani anajifanya annony, hajulikani, kazi kushadadia mambo ya watu tu, ni wema mwenyewe na ujinga wake mxiuuuuu maniner

      Delete
  4. Zakayo bora umepata njemba ya kukustiri ifanye ikulipie kodi uhame kwa esma ushuzi unambanabana anashindwa kujivinjari na njemba yake!

    ReplyDelete
  5. TOKA SIKU YA KILL AWARDS NDIO SIKU ALIPANIC KUONA DUNIA NZIMA MPAKA WAZAZI WAKE WALIJUWA KAMA WEMA YUPO NA DIAMOND FOREVE NDIO ALIPO PATA AYIBU UPYA ALIKUWA BADO ANAJIPA MOYO SANA ANAONA YUKO NA ESMA ANAJUA SHEM DARLING IKO SIKU ATAMTAMANI UPYA ILA NDIO BAASI KISHAHARIBU KAMANDA USIPOJIPANGA NAONA HUJA PATAA YAMJINI KUHUSU PENNY NA ESMA NA HALIMA HAWAPO TENA OTE KIMENUKA MUNGU ACHEZEWI HATA KIDOGO HUYU WEMA MUNGU ANAMPENDA SAANA KILA MWENYE USDA NAYE MUNGU HUMUONESHA TASHTIITI ZAO WAKINA PENNY HALIMA ESMA ZIMEKUWA NUKSI NAKUOMBA FANYA UCHUNGUZI UTAONA MWENYEWE PENNY KAFUTA PICHA ZOOOTE WALOKUA WAKIPIGA NA ESMA NA DIAMOND NA BI SANDRA KAACHIYA ZA HALIMA NDIYE AMEBAKI SHOGA AKE ESMA KWISHNEHII MPAKA HALIMA HAWAONGEYI NA ESMA TEMBELEYA KWENYE PICHA ZA ESMA UTAONA MOJA KAMA ANACHUMA KISAMVU KAWA KATA DOGO ILA MIMI HAYO NILIKUA NAYASUBIRI KWAHAM NAYAMETOKEYA NAONA WANAONA HAYA ULIMWENGU UTAWACHEKA WAKATI WATUWAZIMA TULISHA JUWA BORA ESMAA AMSOGELEYE WIFI YAKE WEMA WAWE KITU KIMOJA WEMA HANA TABU NAONA ESMA KIMOYO SASA ANAKUBALI TEAM WEMA WALOKUWA WAKIYAONGEYA YOTE NIYAKWELI NABORA ASHKURU MUNGU HAKUOLEWA HUYO PENNY ANGELIWATUPIYA NGUO NJEE YA HADHARA WAKAJUTA UKIMCHUNGUZA ANAMAMBO MENGI YA KUJIACTSHA HANA MAPENZI ALIKUWA ANA TAKA WAMUOWE APATE UMAARUFU NA KUMKOMOWA MADAME BAASI KAJIFANYA MUISLAM HAFLA ILI AOLEWE KAMA WOLPER BORA WAOWANE NA HUYO WOLPER MAANA WOTE WAMEKA KIUME TENA SHEMU DARLING HAKUWAHI KUMPENDA HUYO PENNY ALIJITETEA KWENYE MEDIA KUKWEPA AIBU ZILE SIFA ZOOTE ALIKUWA ANA MWAGIYA ZILIKUWA ZA WEMA HAWAKUWAHI KUACHANA WALIKUWA WANAONANA NA KUONGEYA KILA SIKU KUNA WAKATI CHIBU ALIKUTANA NA MME WANGU AKAWA YUKO ANACHEKA SANAA HUKU AKIOMBA USINIKATIYI SIMU WEMA UNANIUMIZA SANA NISIPO KUONA HATA KUKUSKIYA MUME WANGU AKAULIZA MBONA UMEFURAHI SAANA HIVYO AKAJIBU CHIBU SUNAJUWA NILIKUA NAONGEYA NA MALKIYA MOYO WANGU WEMA MME AKAMWAMBIYA SIULISHA KUACHANA NAYE AKAJIBU HATUJA WAHI HUYU NDIYE NINAYE MPENDA MAISHANI HUWONI ANAVYO NIPA FURAHA SIO YULE KINGANGANIZI HATAKI KUTOKA UTAFKIRI NILIMZAA MIYE UTAFKIRI YATIMA HANA WAZAZI KUJIPA MOYO TU HAWEZI KUMFIKIYA HATA CHEMBE WEMA






    ReplyDelete
    Replies
    1. Looo una chuki utadhani huna dada au wadogo wa kike khaaaa, shetani mkubwa weee, unaemtolea siri hata mumeo

      Delete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item