DISQUS SHORTNAME

PENNY APATA KAZI KITUO KIPYA CHA REDIO EFM 93.7

Kukufanya uelewe zaidi ni kuwa Penny ameshamove on… So wakati Weimond wakila bata Mtwara, Penny amekuwa akijiandaa kwenda hewani kama mtan...

Kukufanya uelewe zaidi ni kuwa Penny ameshamove on… So wakati Weimond wakila bata Mtwara, Penny amekuwa akijiandaa kwenda hewani kama mtangazaji wa kituo kipya cha redio cha Dar es Salaam, EFM
“EFM 93.7 Dar es salaam… Wazungu wanasema??!!’
Coming soon,” ameandika Penny kwenye picha anayoonekana akiwa ndani ya studio za kituo hicho cha redio

Related

INAHU 6061490337636328485

Post a Comment

  1. bora ili aweze kujipangishia nyumba sio kuganda kwakina dai looh hivi diamond angukuwa tandale ungemganda hivyi nyooooo

    ReplyDelete
  2. mrsshaabani1000yrsMay 5, 2014 at 4:54 PM

    Na hiyo mipengo sasa waangalie sana mitambo itakorofisha kila siku mana hiyo mimate itakayotoka hapo elinino

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item