DISQUS SHORTNAME

oooOOOOWwwwHHH....AISEEEE...!!!!!!!

Related

ZA MOTO 7945008224891830303

Post a Comment

  1. KAMA KWELI KIMEWAUMA HUU UCHAFU WA CLEMENT KWANINI HAMUMUWEKI PICHA NA YEYE? NAVIPI MNAWACHAMBA WANAWAKE WENZENU MPKA NA MTOTO WAKAJALA? HIVI MUOGOPENI MUNGU. KM KUCHAMBWA ANGECHAMBWA HUYU CLEMENT MTUMZIMA HOVYO ANAYETUMIA KODI ZETU WANANCHI TUSIYEKUWA NA UWEZO. KILASIKU MNACHAMBA WANAWAKE WENZENU HUYO CLEMENT MNAMFICHA AU HAMNA UHAKIKA MNACHOANDIKA?

    ReplyDelete
  2. ww hapo juu huna akili huoni kosa la kajala basi hata wewe waweza tembea na baba yako

    ReplyDelete
  3. We nawe ni mjinga kajala ana kosa.gani kutembea na.ck c alishaachana na wema,km alitembea na babayake ulikuepo kumshikia miguu???mxiuuu km kz kushabikia yasiyokuhusu

    ReplyDelete
  4. Ulikuepo wkt anatembea na babake,?acha kudandia umbea wa instagram jamani,mnadharirisha wenzenu,nyie ni nani kuhukumu watu.

    ReplyDelete
  5. jmn jmn ivi vitu ni vya kawaidaa katikaa jamii kajalaa sio wa kwanzaa kutembeaa na mpenz wa rafiki yakee lkn tatizo linakujaa kajalaa kwelii hukustahili kutembeaa na huyo ck coz wema alikisaidia saanaa kipindi cha matatizo yakoo ataa familiaa yako wenyewe walishindwa wema alikuwaa nguzo yako cha muhimu kajala rudi kwa wema muombee msamahaaa hata kamaa hamtokuwa marafiki tenaa we kirii kosaa sio kila siku kwenye mediaa unatudanganyaa hujui chanzoo kumbee ww ndo chanzo kajalaa unaboaa ushaaribu kiri kosaaa endeleaa na maishaa yako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ilo neno mwenzangu akumbuke wema alotendewa na wema

      Delete
    2. Eti msamaha, annze kuomba wema kwa mke wa CK kwanza, coz wema nae kamtesa sana yule mama, na mama wa watu kimyaaaaaa, mnahani ile ni nzuri, malipo yake ni haya, mnacheza na sala ya mke nyie, inaenda moja kwa moja mbinguni. malipo yake ndio haya mnayaona.

      Delete
  6. hivi sio vya kawaida wewe anony hapo juu kajala hana utu wala shukrani ndio maana hata wakina pfunk na mkewe wamemfungia vioo hawataki hata kumsikia wananafanya yao

    ReplyDelete
  7. nyie wote hamnazo.

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item