DISQUS SHORTNAME

NYOKA ATOKA NDANI YA BEGI KWENYE DALA DALA WATU WAPAGAWA!

Mwanafunzi mmoja alikuwa amekaa kwenye daladala anaandika sms,huku ameshika begi lake. Mzee mmoja wa kiswahili kando yake akaanza kuangali...

Mwanafunzi mmoja alikuwa amekaa kwenye daladala anaandika sms,huku ameshika begi lake. Mzee mmoja wa kiswahili kando yake akaanza kuangalia dogo anaandika nini. Dogo alipogundua anachunguliwa akaamua kubadilisha sms akaanza kuandika: "Yule nyoka uliyenipa inakaa hujamtoa meno ya sumu,hapa nilipo anasumbua kwenye begi anataka kutoka,sijui nifanyeje na alivyo mkubwa akitoka ataleta taabu coz niko ndani ya matatu."... Dogo alipoona mzee anababaika akachukua begi na kumrushia...Mzee akaruka dirishani fasta huku akipiga kelele,"Mamaae nyokaaaaa!....nakufa mieee! Mzee kuona vile akaanza kusogea pembeni.

Related

STORY ZA KITAA 1538176798552479039

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item