DISQUS SHORTNAME

PICHAZ: MWILI WA ADAM KUAMBIANA WAAGWA BUNJU

MWILI wa mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana umeagwa nyumbani kwake Bunju B , Dar ambapo ndugu , jamaa , wanasiasa , m...

MWILI wa mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana umeagwa nyumbani kwake Bunju B , Dar ambapo ndugu , jamaa , wanasiasa , marafiki wameshiriki tukio hilo.
Kesho asubuhi mwili utapelekwa Viwanja vya Leaders kuagwa na baadaye kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar .

Related

BONGO MOVIE 577649115977528790

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item