Kabisa, hata haya hawaoni. si wema wala kajala wote mbululaz, kama mie ndio wema na niko na mpenzi wangu tunategemea kufunga ndoa, ningetoa tamko kwa fun wangu sitaki wala kusikia swala hilo, im happy with my chibu, anaetukana anajiongelea mwenyewe, fun enough hizi account fake zote utakuta ni zake yeye mwenyewe Wema, maana akili zake anazijua mwenyewe
Ofcoz yes ni umburulaa tu kupenda vya bure na vitu vuzuri ndo wanaishiaha uku
ReplyDeleteHaswa umenikosha sana leo le mutuz naona dongo letu la leo linawahusu sana wema sepetu na kajala Wanapigana vikumbo kwa kumgombea mume wa mtu.
ReplyDeleteKabisa, hata haya hawaoni. si wema wala kajala wote mbululaz, kama mie ndio wema na niko na mpenzi wangu tunategemea kufunga ndoa, ningetoa tamko kwa fun wangu sitaki wala kusikia swala hilo, im happy with my chibu, anaetukana anajiongelea mwenyewe, fun enough hizi account fake zote utakuta ni zake yeye mwenyewe Wema, maana akili zake anazijua mwenyewe
ReplyDelete