KUMBE NEY WA MITEGO NDIYE ALIYEVUNJA NDOA YA SAKINA
SASA hakuna ubishi kuwa , ile ndoa iliyofungwa kwa mbwembwe na kuvunjika kabla ya mwezi mmoja kati ya msanii wa filamu za Kibongo, Skyner ...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/kumbe-ney-wa-mitego-ndiye-aliyevunja.html
SASA hakuna ubishi kuwa , ile ndoa iliyofungwa kwa mbwembwe na kuvunjika kabla ya mwezi mmoja kati ya msanii wa filamu za Kibongo, Skyner Ally ‘ Skaina ’ na Saad Omar, chanzo ni Mwanabongo Fleva ,Emmanuel Eribaliki ‘ Nay wa Mitego ’ . Habari za awali zilisema kuwa , ndoa ya Skaina iliingia mdudu baada ya mumewe kugundua kuwa alinunua ‘ mbuzi kwenye gunia’ , kwani bidada huyo alikuwa na ujauzito wa mtu mwingine .
Hata hivyo , minong ’ ono ilikuwa inasema kuwa , mimba hiyo ilikuwa ya Nay ingawa
awali , hakuna aliyekuwa tayari kufafanua kuhusiana na ishu hiyo . Ndoa ya wawili hao ilifungwa Oktoba 7, 2011 nyumbani kwa dada yake , Magomeni – Mapipa , Dar na kufika tamati kabla ya mwezi
Novemba, dah! Ripoti zilizopo kwenye makabrasha ya Risasi Mchanganyiko zinaonesha kuwa , baada ya
Skaina kutemwa na Saad alimweleza Nay sababu na kutimkia kwao Iringa ambapo alipojifungua alimweleza ukweli mwenzi wake huyo kuhusu ujio wa mtoto wao . Skaina . Wawili hao wameelezwa kuwa na
mawasiliano ya karibu lakini ya siri kwa muda mrefu ila hivi karibuni , wote waliamua kuutua mzigo huo na kuweka mambo hadharani ambapo kwa upande wa Skaina alisema : “Nadhani mmechelewa tu kujua, lakini habari ndiyo hiyo . ” Nay alipoulizwa , alijibu kwa kifupi sana: “Ni kweli lakini ni mambo ambayo huwa sipendi kuyazungumzia sana. ” Ili kuthibitisha ukweli huo, wikiendi iliyopita, baada ya Nay kutwaa tuzo moja ya Kili katika kipengele cha Wimbo Bora wa Kushirikiana , Skaina alitupia maneno ya kumpongeza Nay katika ukurasa wake kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram yaliyosema: “Hongera baba mtoto wangu kwa kuchukua tuzo , Mungu akuzidishie baraka na maisha marefu ili mwakani uweze kuchukua tuzo nyingi zaidi . Navutiwa sana na kazi zako dady wetu ( akimaanisha yeye na mwanaye ) . ”


kama isingekuwa wewe usipojipanga kumpanga ney kwa kumwambia alimtelekeza mtoto wako kwa skyner na hampi matumizi leo hii wote wawili wangebakisha hiyo story kwenye fumbo kuu lisilo na jibu mpaka leo mi binafsi nakupongeza sana kwakuwa wewe umenyoosha watu wengi sana na umewapanga haswaa,mfano dhahiri ni huu wa ney na skyner maana ulipowekaga ile post tu skyner akaanza mashauzi kwamba ooooh baba halali wa mtoto wangu oohh tunampenda sana lakini isingekuwa wewe wote wasingefunguka BIG UP MKUU
ReplyDeleteYaaani km kuna mwanamuziki,bongo ni mchovu ni ney yaani style zake ni kutafuta mademu wamuhonge ndo maana walipanga na skyner wambambike mimba mkaka wa watu akashtuka ney akikua radhi ili ahongwe yaani soon ney unapigwa pumbu live unapenda kitonga ss hv kajiweka kwa siwema anatombwa na wauza sato yey anaendesha verrosa ya demu kanunukiwa na obasanja yey wala ney haoni shida mpare zero kuliko mpare yoyote duniani yaan ney mkundu huo sio mali yako km hutobadilika utaodha mkundu kwa kutaka mteremko
ReplyDelete