Kimye's best couple: Jay Z Best man harusi itafanyika Paris ,Jay Z na Beyonce watoa masharti....mmh!
Wakati watu wakisubiri kwa hamu ndoa ya wawili hawa habari zilizovuja na kutufikia ni kua Jay Z an Beyonce ndio watakua mabest man lakini ...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/kimyes-best-couple-jay-z-best-man.html
Wakati watu wakisubiri kwa hamu ndoa ya wawili hawa habari zilizovuja na kutufikia ni kua Jay Z an Beyonce ndio watakua mabest man lakini kwa sharti la kutochukuliwa video kwa tukio hilo.
Jay Z na Beyonce inasemekana wamekua katika ugomvi wa ndoa siku nyingi lakini wakiwa nje ya nyumba wanapretend kama hakuna tatizo na ndio hasa lililosababisha shemeji yake Solange kumrukia like aagaahagaaaarrr walipokua wakitoka harusi ya Kelly Rowland

