DISQUS SHORTNAME

KAJALA AMKACHA DIVA,ILIKUA AHOJIWE KIPINDI CHA ALA ZA ROHO

Hivi ndivyo alivyoandika Diva katika ukurasa wake wa facebook baada ya Kajala kuingia mitini kuzunguzia sakata lake na Wema ,pia na mah...


Hivi ndivyo alivyoandika Diva katika ukurasa wake wa facebook baada ya Kajala kuingia mitini kuzunguzia sakata lake na Wema ,pia na mahusiano yake aliyonayo na Clement aka CK ambae ni mpenzi wa Naima.


 "Okay guys Nimemtafuta sana Kaja leo nimemkosa . The Trend tonight katika ala za roho inahusu issue iliopostiwa na @dougiemasta13 @dougiemasta13 @dougiemasta13 inayosema Kajala @new_kajala anatembea na Ex wa @wemasepetu ambae ni mume wa mtu ajulikanaye kama CK. haikuhishia hapo issue hii ya Kimapenzi ambayo inaendana kabisa na Ala Za Roho ya Cloudsfm inaendelea na source inaonyesha sms zikiwa Zime Munchiwa na zingine kali na za ajabu na za aibu ambazo zipo kati ya Kajala na So called CK wakiwa wanaonyesha kuchati mahaba mazito sana kati yao. ikumbukwe CK alianza toka na dada aitwaye naima ambaye chanzo kinasema ndio source ya kuvuja message hizo. Ilianza hivi.. Naima aliishiwa Charge katika simu yake akamuomba Ex wake kwasasa Itwaye CK atie line katika simu na kumpigia simu mara moja mtu then arudishe na baada ya kutia line hio akaenda kwenye sms na kukutana na hizo message za mapenzi kati ya CK na Kajala ... then naima alakimbia mbio kwenda anakoenda na simu hio then from there ndio sms hizo zikazagaa. Hot Topic inakuja hapa kupitia the trend .. kwanini wanawake wa mjini wanasalitiana kisa kushare wanaume? who is to blame? mwanaume au wanawake? nitamtafuta mwanasaikolojia Chria Mauki aweze kuongea kisaikolojia zaidi. stay tuned to @cloudsfmtz usiku huu wit ya girl DivaTheBawse."

Related

HABARI YA MJINI 3244278651844576298

Post a Comment

  1. Huyo mwanasaikolojia angeanza kumsaidia yeye kwanza. coz nae haeleweki vilevile

    ReplyDelete
  2. Bwana wa naima au bwana wa wema sepetu?ndo maana roho inamuuma sana kuchukuliwa na mtu mwingine chibu dangote kazi unayo utatombewa mpaka basi ila usisahau kumuwekea kondom kwenye mkoba wake zitamsaidia kumlinda.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe ndo wale vilaza wanaokurupukia treni kwa mbele. utagongwa nyuma mamae ww anony 8:25

      Delete
  3. Kamanda naomba email yako please, nina shida na ww

    ReplyDelete
  4. jipange101@gmail.com

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item