JUST A KISS!!! Ona Mkude Simbaanachofanyiwa na Penny!!
Hehehehe mimi sina chakuongeza hapo.....Ila kaka yetu (MKUDE SIMBA) kama hakuwa COMFORTABLE hivi.....
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/just-kiss-ona-mkude-simba-anachofanyiwa.html
Hehehehe mimi sina chakuongeza hapo.....Ila kaka yetu (MKUDE SIMBA) kama hakuwa COMFORTABLE hivi.....
Hawa madada wa mjini NOUMA SANA...siunakumbuka ile ya DIVA
Hii sasa ni ya PENNY ( yeah yuleyule aliekuwa wa Diamond P) Ila tuache utani huu Mkisi una ma hisia hadi
macho kufumbaaa.....Hii nawaachia mmalize wenyewe!!!
KISHA KAANDIKA:


penny ata aki kiss wasichana uwa anafunba macho jmn... jst kisss
ReplyDeleteHa ha ha mkude simba huwa ananimaliza kwa kweli
ReplyDeleteToo much hate bidada, inaonekana anakunyima usingizi
ReplyDeleteMkudee Simbaaa
ReplyDeleteJmn ts just a kiss penny hawatoki mdomon mwenu..muuacha na asifanye kitu mtot wa watu
ReplyDeletemalayaa huyo penny,alisema mm na diamond tumepumzishana sasa mambo magumu anaamua kutiwa ovyo,vp yule baba aliyemuazima diamond gari,imeishia wapi? si anamtia penny pia!!!!? au!!! namuonea huruma huyu dada jamanii yeye na asma kimenuka tayarii mama mkwe karudi kwa wema,lol..atulizane sasa aibuuu..
ReplyDeleteMalaya wewe.muache Penny. Mbona hawatoki mdomoni?
Delete