DISQUS SHORTNAME

JOKATE AANIKA SIFA ZA MUMEMTARAJIWA

MTOTO mzuri kunako anga la watangazaji Bongo, Jokate Mwegelo ameibuka na kuanika sifa za  mwanaume ambaye anafaa kuwa mume wake. Akipia s...


MTOTO mzuri kunako anga la watangazaji Bongo, Jokate Mwegelo ameibuka na kuanika sifa za  mwanaume ambaye anafaa kuwa mume wake. Akipia stori na paparazi wetu juzi jijini Dar ,Jokate alisema anapenda mwanaume ambaye atajua kutafuta fedha kwa nguvu zote, awe anajua kubembeleza na awe na
nidhamu kwa wazazi wake .
“Sifa ya mume ninayemtaka , anapaswa kuwa mtafutaji wa fedha, sipendi mwanaume asiyependa kutafuta , awe anajituma kwa kazi zake na kwa mpenzi au familia yake na pia
ajue kunibembeleza , ’’ alisema Jokate .

Related

BONGO MOVIE 8530809626713423740

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item