DISQUS SHORTNAME

JOHARI : RAY HAWEZI KUMUOACHUCHU

Blandina Chagula ‘ Johari’ , juzikati alifunguka  kwamba watu waachane na kusikiliza habari za matapeli wa mapenzi, maana suala la Vicent...


Blandina Chagula ‘ Johari’ , juzikati alifunguka  kwamba watu waachane na kusikiliza habari za matapeli wa mapenzi, maana suala la Vicent Kigosi ‘ Ray ’ , kumvisha pete mchumba  wake wa sasa Chuchu Hans si la kweli na kwamba huo ni utapeli. Staa wa sinema za Kibongo , Blandina Chagula ‘ Johari’ .
Akizungumza Ijumaa Mei 13 , mwaka huu Johari alisema hana taarifa zozote za Ray  kumvisha pete Chuchu na wala hatarajii  kusikia tukio la wawili hao kuoana limefanyika .  “Mmh … unasema Ray kamvisha pete Chuchu.. .! Hakuna jambo kama hilo wewe , achana na matapeli maana hakuna ishu  kama hiyo na Ray hawezi kuoa kwa muda huu. ” “Kwani suala la kumvisha pete na kutoa  mahari lilifanyikia wapi maana kama kweli
kuna mazingira hayo basi atakuwa kafanya kwa kificho sana .”

Related

BONGO MOVIE 2006991391842869478

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item