Lady Jaydee alishinda tuzo mbili mwaka huu
kwenye KTMA lakini kwasababu ambazo hajazisema,hakuwepo mwenyewe kuchukua tuzo
hizo.
Shabiki wake aitwaye Malia Songo aliamua
kumuuliza kupitia Twitter kwanini hakuwepo
kuchukua tuzo zake.
Jaydee acha dharau hata km una beef na cloud kwanini usikatae hizo tuzo? Au wakati umechaguliwa kunominate kwanini usijitoe? ...umesifiwa ukomando lkn sasa too much imekuwa dhharau!
Jaydee acha dharau hata km una beef na cloud kwanini usikatae hizo tuzo? Au wakati umechaguliwa kunominate kwanini usijitoe? ...umesifiwa ukomando lkn sasa too much imekuwa dhharau!
ReplyDeletekwani lazima kwenda???
ReplyDeletemmmmmmmmh
ReplyDelete