JACKLINE WOLPER AFUNGUKA JUU YA MAHUSIANO YAKE NA NEY WA MITEGO,VIPI KUHUSU G MODEL ?
Jackline Wolper amefunguka kuhusiana na moja ya shutuma zinazoendelea kumkabili kila anapoamka. Mdada huyo mwenye kujituma sana amefungu...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/jackline-wolper-afunguka-juu-ya.html
Jackline Wolper amefunguka kuhusiana na moja ya shutuma zinazoendelea kumkabili kila anapoamka. Mdada huyo mwenye kujituma sana amefunguka kuhusu shutuma za kumuhusisha yeye na msanii mkali wa Hiphop , Ney wa Mitego.
Mwanadada huyo akiongea na Vibe Tanzania alidai hajawahi kuwa hata na number ya Ney wa Mitego sasa akisikia kwamba ana mahusiano na mwana Hiphop huyo anashangaa sana kwani hata hajui maana halisi ya kuzagaa kwa maneno hayo yasiyo na maana wala source. Wolper aliendelea kufunguka kwamba hayuko tayari kusikia uzushi huu ukiendelea na wala hatowaacha wanaosambaza umbea huu kwani hajui nia yao. Msanii huyo amekua akiandamwa na romours moja baada ya nyingine kwani alipewa scandalz ya kusagana kabla haijapotea imeingia ya Ney wa Mitego huku Wolper huyo huyo akihusiswa kuwa na mahusiano na G model.


ndo dunia hii,binadamu hawakos maneno
ReplyDeleteMwongo ww kwenye u heard ya clouds fm ney amesema anayo namba ya wolper lkn ni mara chache sana huwa wanawasiliana...leo ww unasema hata namba yake huna
ReplyDeleteG model nae kafia wapi mbna hajaongelea napita tuuu mijini kunamambooo huhihuhiiiii yevuuuuuuu
ReplyDeleteUnakera kwa hiyo unaishije kama masister?
ReplyDelete