Instagram Goes NUCLEAR . . . They BANNED Rihanna’s Page . . . All Because She POSTED THIS PIC!!
Uongozi wa Instagram umefutilia mbali picha alizoweka Rihanna akiwa bila nguo ya juu ya kuziba kifua chake na nyingine akiwa bila kufuli....
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/instagram-goes-nuclear-they-banned.html
Uongozi wa Instagram umefutilia mbali picha alizoweka Rihanna akiwa bila nguo ya juu ya kuziba kifua chake na nyingine akiwa bila kufuli.Hayo yametokea baada ya kumpa warning kupitia barua pepe yake
“If you wouldn’t show the photo or video you are thinking about uploading to a child, or your boss, or your parents, you probably shouldn’t share it on Instagram.” Ni kipengele cha sheria ya matumizi ya instagram ambacho Rihanna alikiuka.
Pia alitumiwa barua pepe ya kumuonya kutokurudia kitendo hicho na akirudia atafutwa kabisa instagram






i think this gal z goin crazy. aaaaaaaaaaagh
ReplyDelete