HALIMA KIMWANA AFUNGUKA INSTAGRAM
Kwa sasa Instagram ndio mtandao wa kijamii unaoongoza kwa kutoa habari mbalimbali za wasanii, mabifu na makundi mengi yapo huko. Utakuta m...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/halima-kimwana-afunguka-instagram.html
Kwa sasa Instagram ndio mtandao wa kijamii unaoongoza kwa kutoa habari mbalimbali za wasanii, mabifu na makundi mengi yapo huko. Utakuta mabifu kati ya mtu mmoja na mwingine yakianzia Insta na kuzua mtafaruku mkubwa. Pia Insta kuna Team. Mfano wa team kubwa zinazofahamika ni Team Wema Sepetu, Team Diamond, Team Penny nk Sasa kuna vijimaneno kua Halima Kimwana ambae ni dada wa hiyari wa Diamond hapatani kabisa na shemeji yetu Wema Sepetu. Kwani inadaiwa kua hata wakikutana hawaongeleshani.
Wiki hii yote mwanadada Halima Kimwana amekua akishambuliwa na wafuasi wa Wema Sepetu kwa nini anabifu na Wema. Baada ya watu kumlalamikia sana Halima hatimaye dada huyo meamua kufunguka Instagram na kusema haya " Mambooz Instagram...!! Ukiona Mtu Kutwa Upo Mdomoni Mwake Ujue Unamuumiza Sana Kichwaaa..!! Mimi Ndo Mimi Hata Iweje Siwezi Kuwa Kama Wewe Mana Yake Naona Mnazid Kutoka Mapovu Ninachoweza Kuwambia Akuna Mtu Yoyote Anaweza Kunibadilisha Msimamo Wangu... Khaaa Nimewachoka Jamani Kutwa Halima Halima Mna Nini...?? Tangu Mlipo Nitukana Kipi Kimepungua Kwanguu...?? Kila Mtu Ana Maamuzi Yake Katika Maisha Why Maamuzi Yangu Yawe Kikwazo Kwenu?? Mimi Ndo Ninaetakiwa Ni Post Au Nimpende Huyo Mnaempenda Nyinyi..? Yeye Ana Watu Wangapi Nyuma Yake Mbona Ata Siku Moja Amjawambia Wa Mpost Au Wampende @diamondplatnumz..?? Mkiniacha Na Maisha Yangu Pia Sio Mbayaaaaaaaaaaaaaaa... " WEWE BINAFSI UNADHANI ANAMWAMBIA NANI HAYO???

Sura ka gimbi la sitimbiiii.Sura sio roho loohhh hapo ka roho giza kama sizi la chungu!!!
ReplyDeleteEmbu atoe shombo la Kwapa kwani yeye nani mtu mwenyewe mtubakiii tuu fala kweli kweli mapengo kwangu toka awe na misimamo yake kwan wema kapungukiwa na nini kinembeee chakee
ReplyDeleteSasa ww kama unampenda kaka yako iweje umchkie mpnz wake kama c kpenda hela tu kama kweli unampenda mpende na wifi yako sasa kama matusi haya uliyoandika unafikiri hata kaka yako atakfikiria nn jaribu kfikiria mama ka ushauri tu bye!
ReplyDeleteAendeee zakeeee
ReplyDeleteMfyuuuuu huna ndugu? huna Kaka? haaa unang'ang'ana kulazmisha udugu loooh tena wao kwao vpotabo sio mitukunyema kama wewe, wewe ni roba la viaz tena lile lombesa, mnuka nnya umpende wewe nani? mfyiuuu utaishia kuoganae nakumuharibu macho na michup yako ilokomaa
ReplyDeleteUndg wenu wa mbalii kisa wote mmetoka kigoma kwa nn umng'ang'anie dai jiie hakima baba levo
ReplyDeleteAchape rapaaaa
ReplyDeleteHalima amesuposta kusema alichopenda ika akae akijua diamond sii ndugu yake wa damu kwaiyo ampende wena asimpende haisaidii coz sii ndugu wa damu ingekuwa esma kweli akanye fenesi kule
ReplyDeleteHawezi kumpenda Wema hata siku moja na hata siku mkiona kawa karibu na wema basi Wema awe makini sana, Huyu Halima ni mchawi hata mtaani anajulikana na ndiyo maana anampenda Penny maana wote wachawi wanatoka kwenye koo za kachawi, walizoea kushirikiana na Penny kumwekea Diamond madawa kwenye uchi na manyama yaliyokaa siku 3 kumani ili awe xezeta aendelee kuwapa pesa, Halima mwenyewe bila Diamond angekuwa hivyo? Hapo ndo kawa mzuri kumbukeni siku za nyuma alikuwa na muonekano gani? Wema HAJATOKA FAMILIA YA KICHAWI NA SIYO MCHAWI hawezi kupendwa na mchawi maana siku zote nuru na giza havikai pamoja, na mwisho wa siku akiona kashindwa anaweza kumuua hata Diamond maana matumizi yatapungua coz no kumlisha nyama za kumani.
ReplyDelete