DISQUS SHORTNAME

HABARI MUPYA TOKA KWADIAMOND PLATINUMZ..SOMAZAIDI HAPA...!

Selfie aliyoipost Diamond kwenye ukurasa wake  wa Instagram huenda ikategeua kitendawili cha ni wimbo upi staa huyo ameenda kushoot vide...


Selfie aliyoipost Diamond kwenye ukurasa wake  wa Instagram huenda ikategeua kitendawili cha ni
wimbo upi staa huyo ameenda kushoot video yake nchini Uingereza.  Iyanya (wa kwanza kushoto) Diamond, Babu Tale Ommy Dimpoz, Moe Musa (wa pili kutoka kulia) na watu wengine wakiwa kwenye picha ya pamojaKama ilivyokuwa kwa Ommy Dimpoz (waliyesafiri naye hadi Uingereza) aliyemtumia muongozi wa video wa Uingereza,
Moe Musa kushoot video ya wimbo wae Ndagushima, inaonekana Diamond naye ameamua kumtumia muongozaji huyo wa video za wasanii wengi maarufu wa Afrika.Pia inavyoonekana wimbo unaofanyiwa video ni ule wa Diamond aliomshirikisha staa wa Kukere, Iyanya ambaye naye yupo kwenye selfie hiyo. Moe Musa ameongoza video kibao zikiwemo Carol ya Star
Boy f/ Wizkid, Azonto na Antenna za Fuse ODG,  Skelewu ya Davido na zingine. Mambo
yamekwiva!

Related

HABARI YA MJINI 4025354011290168312

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item