DISQUS SHORTNAME

EXCLUSIVE:NAIMA AMFUMANIA KAJALA,WALIKUA WANATUMIANA MESEJI ZA MAPENZI NA CLEMENT

Hua sio kawaida yangu hasa pale ninapopata tatizo kuomba ukiona nimeomba jua nimekwama,nilimwomba mpenzi wangu Clement aninunulie simu ...


Hua sio kawaida yangu hasa pale ninapopata tatizo kuomba ukiona nimeomba jua nimekwama,nilimwomba mpenzi wangu Clement aninunulie simu kwa sababu niliyokua natumia imeharibika na siko vizuri kwa sasa, alikubali lakini akaniambia kwa sasa hayuko poa lakini akanipatia simu ya maana tu ya kutumia,nilipowasha ile simu alikua kasahau kufuta meseji nikakuta meseji za mapenzi ambazo alitumiwa na namba nisiyojua nilipofuatilia zile namba nikakuta ni za Kajala na alikua kazi save kwa majina ya matusi tena ya nguoni......hilo ndio nilitaka kukufahamisha naomba mumwambie aache mabwana za watu na akibisha screen shorts ya hizo meseji na namba zake za simu zote hizo hapo.

@tinydaddy








Related

STORY ZA KITAA 2866483832610324734

Post a Comment

  1. Mhh mpk naogopa ..mbona imani imekua ndogo hivi, kwani huyu clement hajaoa? Si naskia ana mke huyu, mkewe yu wapi mbona mumewe nae mchafu kiasi hiki? Au karogwa awe mpole? Sasa mwanaume mwenyewe km mchafu hivi wa nini, na huyo clement admn tungependa tumuone huu ni udhalilishaji pia...kwanini anawachezea watt wa watu kwa kiasi hiki, na hiyo ofisi yake inawezaje kuwa na mfanyakazi fuska kama clement sasa si anaharibu hata image ya ofisi yake! Wallahi ana dhambi sana! Kajala mami unaadhirikaje sasa kwa umaskini wako, mwanaume kakusave "kuma" mweh! Kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firaunni! Hata km wema hana mpango na clement kwa sasa au hata km ingepita miaka kumi hayupo nae kajala wewe sio wa kukanyaga alipotoa wema nyayo zake! Wema ni zaidi ya nduguyo! Ila sishangai km uliweza kulala na babako kweli kwa huyu ni km kumsukuma mlevi! Nitakuweka kwenye maombi leo!

    ReplyDelete
    Replies
    1. usimuweke kwenye maombi muache azidi kuwa malaya ukimuombea ataacha na sisi tunataka afe na ukimwi hiloo kajala malaya

      Delete
    2. nasikia anafanya kazi ikulu, na anafatilia kwa karibu sana account hizi fake. soon watu wataanza kukamatwa mmojammoja wanaotukana. nimefurahi sana kusikia hii. mana watu mambulula wamejaa insta. yaani huko IG kunanuka kuma kuma tu. watu hawana shule hata moja, yaani wakiamka kabla ya mswaki insta. sidhani kama mtu unafanya kazi yako utakuwa insta na account zako fake unapost utumbo tu

      Delete
  2. Sijaelewa hata chembe. Co km nko side ya kajala ila hzo msg za mapenz zko wap apo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama hujaelewa basi hadi mwalim wako anastahili pole kwa kufundisha bongolala kama wewe.

      Delete
    2. kojoa ukalale bichwa lako limeganda shahawa za buzi la kajala mfyuu sasa hujaelewa nini hapo

      Delete
    3. Nilivyoelewa ni kama kajala kampotezea huyo baba, sijaona meseji ya kajala mbaya hapo, zaidi ya huyo baba kulalamika kablokiwa. mjue kwamba msg ya mwenye namba inakaaga kushoto mwa simu. ina maana alishaona kosa akamchunia. mie sioni haja ya watu kupanic, mambo yashapita sasa tunasherekea tunzo, tusiwe kama malimbukeni wa mitandao. Kuhusu kuseviwa kuma, ni huyo huyo naima atakuwa kabadilisha jina., coz navyomjua Clem ni mtu mzima hawezi kwanza kusave hivyo tena kuanzia na Q, hawa ma do wa st. kajamba nani ndio wanaandikaga hivyo, bado sana hajaniconvience. Mie ni fun wa wema na diamond, napenda amani. tusonge mbele tusionekane kama hatuna kazi kutwa kutafuta maskendo.

      Delete
  3. Ha ha ha kweli tupu we bongo lala duh...sasa hapo hujaelewa nini?kwa hiyo umeajiri mwalimu humu ndani! Mxiuuuuuu kakojoe ulale!

    ReplyDelete
  4. Akwende zake sasa unataka kuelewa nn hizo msg huzioni ama macho umeyafunga mxeeew

    ReplyDelete
  5. Wewe naima malaya mchafu mtoa mkundu ww utafirwaa sana unanukaa mkundu wewe naima kuma la mama yako umefurwaa na bajaji mpaka boda boda shape Huna kiuno kipanaa kama kabati bahati Huna ulifikiri na wewe utahongwa kama wema umeishiaa kufirwaa tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. wote hao wataishia kufirigiswa tu heheheiyaa bora wema alimuacha huyu hegoat

      Delete
  6. Jamaa kampenda sana kajala, hizo za yellow ni kajala, anaitwa mke wangu, mamaa, nakupenda, ndo maana naima kapagawa, sawa kabisa kajala big up, kamata fursa, kwani sh ngapi, mtu kaachia fursa si bora ashukuru ulaji bado upo around, hata akichacha anamwomba kajala. alitaka clem aende wapi sasa, mxiuuuuuu. mchambe msichambe, wote wehu tu, na kukosa kazi za kufanya. mnakasirika nn sasa, mlitaka wema amrudie huyu bwana? hata mnamshangaza bwana dangote. na nasikia kafurahi kweli kajala kumchukua bwana coz, nafasi ya kurudi tena kwa wema ni ndogo. hii week ya furaha msituletee mahuzuni hapa.

    ReplyDelete
  7. Director wa jipange, mbona msg hazieleweki jamani, naona kama mwanaume analalamika, ila sijaona kajala alichosema kibaya hapo

    ReplyDelete
  8. hafanyikazi ikulu anafanya kazi ubalozi wa tanzania uingereza na in administration so na jina kamili la huyo ck ni CLEMENT KIONDO hata jamii forum walimuweka na picha zake ni mweupe na ana mustach

    ReplyDelete
  9. wewe unaekomenti kipuuzi ni bongolala ndio maana unaona sawa kwa kajala kulala na x wa wema ikiwa kajala alisaidiwa na wema kupita kwenye tundu la sindano shame on u wopa najua tu we ni wopa ama kajala mwenyewe pumbavu kabisa sasa naamini kweli kajala kalala na baba yake,kalala na mume wa shamimu na pia boy friend wa decutee.usipobadilika mwanao atakuwa mara 100 ya kwako

    ReplyDelete
    Replies
    1. We umelala na wangapi, au kwa vile sio famous, huna kazi fala wewe, mwacheni kajala, huyu bwana wema kashamwacha. na kinawauma nini, si yuko na dangote.

      Delete
  10. Mie naona maluweluwe tu.team wema tuwe wapole mie nilivyoelewa ni kwamba huyo ck anamtaka K na K yaonekana hataki.ukweli anao yeye na ipo siku tutajua ukweli tusi jump direct in conclusion gud enough ni kwamba Wema ana maisha yake na mpz wake.pia tufanyavyo hivyo tunamuumiza diamond.TEAM WEMA FOREVER

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mi pia naiona hiyo, makeleleee weee, kama mapunguwani, hamuwezi tu kuwa wapole, na bora mshukuru mtu yuko happy na dangote wake, mnakazania kumkumbushia habari ya mahayawani, kama alivyosema mdau hii wiki tunasherekea tunzo tu sio mikelele kama hatuna akili vile. mxiuuuuuu.

      Delete
  11. Tuwekee picha ya huyo clement please tumuoneeee alivyo mzeee au? Pesa yamtoa kajala imani ii na ni mtu mzima kajala sio mtoto kama kina wemaa, lol...au anagawa mkunduuu ni bora wema akae nae mbaliii anaweza tembea na Diamond piaa. .haujui utu na haya hana a uso mkavuuu

    ReplyDelete
  12. Mmmmh watu hamna kazi kweli ya kufanya hakika, swali langu mko wasafi kiasi gani hata muhukumu kiasi hicho? Je hujawahi zini haijalishi na nani? Nahisi hamna dini nyie, maana nyie si wapatanishi bali wachonganishi na washinikizaji, huyo naima mwenyewe naye si alikuwa shoga wa Wema? Wema ameshaachana na huyo mtu yupo kwa relation nyingine and she is happy wat else mnataka? Before unyooshe kidole kusema na kushadadia ya mwenzako, jicheki kwanza wewe ebooo. Muda mnaopoteza kufuatilia ya wenzenu mngefikiria cha maana cha kufanya cha kuwaingizia hela, au hata mngeenda tembelea wagonjwa mayatima au ibada kuliko haya matusi yanawatoka utafikiri si midomo inaongea bali mashimo ya choo yanatema! Wat if angekuwa dada yenu mngemuandika na kumtukana hivyo? Mtu akikosa aonywe kwa hekima na busara bwana ebooo, mnaboa sana. Utafikiri hamjaenda shule bwana kutwa kuandika ujinga tuuu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeona mdau eee, yaani hatuli hatunywi, ni wema this wema that, as much as i love Wema nimeanza kuchoshwa sasa, story zilezile, hizi msg huyu demu katengeneza jina kabadilisha, na kajala anaonekana kabisa hana time na ni jamaa anabembeleza, labda alishagundua kosa. kila mtu ana dhambi zake, basi wameamua kumuhukumu kajala kabisaaa hapahapa duniani, hata maandiko yanasema tusinyoosheane vidole. Mungu mwenyewe ndio atakaemuhukumu, tenda wema nenda zako usijali shukrani

      Delete
  13. Hivi nyie ambao mnajifanya hamuelewii nn apo...kjala kweli anamahusiano na Clement na hapo kuna kitu ambacho Clement alimkosea kajala..kajala akajifanya kama kununa au kukacrika hvi na pozi pozi nyingii....ndo Clement akawa anabembeleza kuwa asimfanyie ivo kwa kuwa hajazoea kumuona kajala akimnunia amezoea kumuona kajala akimjali na kumpa vitu ambayo hajawai pewa (mambo ya kitandani)...sasa nyie mnaosema ooh cjui mbona kajala kama hamtaki cjui nn nn kama angekuwa hamtaki angeenda na Clement china? Maana acjifanye kamfata bwanake decutee maana yule bwana alishamtosa kajala mda sana....! Kajala ulichomfanyia wema na petitman Mungu atakulipa tena malipo yake ni mabaya sana kumbuka petit ndio alimcomvince wema kwa kuwa petit alikuwa bwanako akakulipia faini.....huyoo tindady hatukuona hata pua yake..kwanza uyo tindady mwenyewe anapaka mkorogo nyie mmeona api mwanamke mwenye tabia za kiume anapaka mkorogo....! Wema hakuna kumsamehe kajalaa fanya mambo yako hakufai huyo sio rafiki..angekuwa kweli amejutia kosa na anataka msamaha asingekataa kuwa hatembei na Clement angekirii tu aseme ukweli na kuomba msahama hapo...lakin mtu anaulizwa zaidi ya mara mbili na anakaataa na kukaana huyoo hama toba ya kwelii kafanya makusudii...kajala malipo yako yatakuwa machungu sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. nani amekwabia amemfata clement?ana bwanaake mghana ndo anamuweka mujini nw.

      Delete
    2. We umekiri ulipotembea na mashemeji zako, kila mtu ana siri zake, na katembea nae wakati wameachana, wewe unaumia nini, wewe ndio bwana wako kachukuliwa, huna hata haya, ulali kwa amani kazi kupaparikia yasiyokuhusu, Hata mie kama maisha yangu siyaelewi na bwana mwenye hela kaachwa na shoga angu ningemchukua vizuri, mbona yapo mtaani sana tu, wanachukuliana ndugu itakuwa kajala, mbona hata wema katembea na mume wa dada ake na tunajua watu wa karibu, na mpaka sasa hv kuongea wameongea msibani. au kwa vile dada yake kakaa kimya, wema ni mchafu kuliko mnavyomuona, mmekuwa vipofu mazumbukuku, mie ni team wema kiroho safi, ila fursa haziachiwi kisenge

      Delete
    3. WANAELEWA SANAAA SI TEAM KAJALA NDIO MAANA WANAJIFANYA HAWAELEWI

      Delete
    4. hahahahaha akiamungu kuna watu kweli hamna akili yani ingekua kumfatilia mtu unalipwa we m2 hapo juu ulojielezea jinsi kajala anavyo relate na hizo msg ungekuwa tajiri now bt too bad unapoteza tu mda kuongea afu hupati faida sanasana unaumia tu koo fanyeni yenu msijifanye mnamjua sana kajala mbwa koko nyiee

      Delete
  14. Hehehehehhe duu mjini kuna mamboo sana.....mmmh

    ReplyDelete
  15. hizo sms sio prove ata kidogo......

    ReplyDelete
    Replies
    1. TATIZO HUJAELEWA SIO KOSA LAKO

      Delete
  16. Nyie team wema achen kua vipofu.. hapo mnaona kabisa kajala hana mpango na mwanaume.. ila uyo ck anajimaliza na majina yote mazuri anamuita.. big up kajala nimekubal hubabaikii mwanaue wanaokuponda wamepanick tu kwani wao hawapend brevis au kwa sababu hawajatongozwaa?? Hakua angekataa angepata nafas km yako wanawivu haoo halulaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  17. Yaani, hizi msg zimemuweka juu sana Kajala, big up my sister, maana duuu, mwanaume mwenye hela watu wengi wanamnyenyekea, wewe ndio kwaaanza ukamblock, baba analalamika, hajazoea shida, kashazoea utamu unaompa, nashangaa hawa washamba wamekalia kuongelea mkundumkundu, kufirana ndio habari ya mjini, na utamu wake balaa, na mkianza mtajuta kwa nn mmechelewa, mahayawani washamba wasiojua nini maana ya starehe. Ya insta tuyaache insta, ila kuna watu akili hamna kama lile li Ganya, wenzake wana account fake lenyewe limejimwaga ptuuuu, panaaaaaa kama pazia la sinema. ptuuuuuuu. na mshaambiwa siku zenu zinahesabika, mtakamatwa mmojammoja chezeya usalama wa taifa eeee, yaaani idara hiyo nchi yetu ya pili africa nzima, wakiamua kukukamata hata kama una account fake, wanakushika

    ReplyDelete
  18. Kajala Oyeeeee, mshaambiwa na Rais wa nchi tumieni fursa... eti kisa shosti nani kasema, mumkome kajala

    ReplyDelete
  19. Eti kajala aombe msamaha, huyo wema aliomba msamaha adharani kwa kutembea na mume wa mtu???? alimwomba dada yake msamaha kwa kutembea na mumewe??? alimwomba dangote msamaha hadharani kwa kumcheat na libaba jitu zima??? msamaha my shoes, Kajala ukiomba msamaha siwi tena fun wako, washenzi watupu, we kaa kimya kula vyako, travel in style, ishi maisha yako, na huyo CK usimwache ng,ooooo, acha wapayukaji wakauke makoo

    ReplyDelete
  20. Wema kajala naima wote Malaya wakubwa wauza kuma tu hapa wanatafta umaarufu zaidi kukuza vipaji wamekaa kama bunge la katiba jioni wakikutana kama sio wao wanasherekea pamoja

    ReplyDelete
  21. nyie mnaokaa kumsema kajala na kumfatilia wote elimu yenu darasa la7 ndio maana hamna kazi ya kufanya hizo msg mlizoweka apo hata hazieleweki acheni kushabikia vitu msivyo vijua hamna kazi za kufanya mpate maendeleo yenu hadi mnamkalia kajala kooni au mna tafuta kiki acheni shobo stupidy pigs wote mnaomchafulia kajala jina chefuuuuuuuuuuu fuck off.......

    ReplyDelete
  22. Kajala ni mwanamke km wanawake wengine mara nyingi mnapenda kumtengenezea skandal ili awe ,mchafu sio tatizo cos umaaruf hauji bila skandel ila sasa mmezidi sana na wewe unaemuombea mwenzako kufa unaijua km kesho utafika? tusifike binadam tukajisahau kiasi hicho jamani kila siku yeye nae ana roho anaumia pia km wanavyoumia wengine ni ayo tu ukitaka nitukane na mm

    ReplyDelete
  23. Kajala ni mwanamke km wanawake wengine mara nyingi mnapenda kumtengenezea skandal ili awe ,mchafu sio tatizo cos umaaruf hauji bila skandel ila sasa mmezidi sana na wewe unaemuombea mwenzako kufa unaijua km kesho utafika? tusifike binadam tukajisahau kiasi hicho jamani kila siku yeye nae ana roho anaumia pia km wanavyoumia wengine ni ayo tu ukitaka nitukane na mm

    ReplyDelete
  24. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  25. Kajala oyeee kila MTU ana history yake mumuache kajala ala vyake

    ReplyDelete
  26. Mmmh sijui but mbona kama mwanaume ndo anambembeleza mwanamke...sms za kajala zko kawaida kusema ukweli.ila.......am out

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item