DISQUS SHORTNAME

EXCLUSIVE: SOMA SMS ZA WABUNGE WALIZOTUMIANA BAADA YA NDOA YA VICKY KAMATA KUSHINDWA KUFANYIKA

1. HUU NI UJUMBE WA MBUNGE MMOJA KWENDA KWA MWENZIWE JANA:- "Mamboz? Kesho unajua Vikcy Kamata ilikuwa aoelewe na bonge la harusi h...

1. HUU NI UJUMBE WA MBUNGE MMOJA
KWENDA KWA MWENZIWE JANA:- "Mamboz? Kesho unajua Vikcy Kamata ilikuwa aoelewe na
bonge la harusi hapo Kempisky, kumbe muaoaji ni Mume wa Mtu mkewe kajitokeza na fujo kibao,
Jamaa kaambiwa na Padri hawezi kuoa kaingia mitini nasikia Padri kaombwa mpaka na Waziri
Mkuu lakini kagoma kabisa kwamba hakuna ndoa, jamaaa katoroka hajulikani alipo ila ni mfanyakazi wa Tigo!! yaani tumesikitika sana

maana sasa Vicky yupo ICU" 2.
HUU NI UJUMBE WA PILI WA MBUNGE MWINGINE KWA MBUNGE MWENZAKE:- "Wabunge tumechanga mamilioni ya pesa kibao Vicky na jamaa wakaenda China kufanya shopping kumbe
lijamaa ni full taperi.....!!!Wabunge wengine walishatangulia Dar kwenye harusi toka jana wapo huko. Yaani imenisikitisha sana lazima Vicky arudishe michango yetu."
Source: Blog ya wananchi

Related

AIBU 2456610583472257008

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item