Exclusive: Rose Ndauka KutolewaMahari Na Malick Bandawe"Chiwa Man" Leo Hii...
Hii ni exclusive! Star mkubwa wa filamu nchini anayetamba na filamu kibao sokoni Rose Ndauka anatolewa mahari leo hii baada ya kuwa kati...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/exclusive-rose-ndauka-kutolewa-mahari.html
Hii ni exclusive! Star mkubwa wa filamu nchini anayetamba na filamu kibao sokoni Rose Ndauka
anatolewa mahari leo hii baada ya kuwa katika uchumba na msanii mwenzake wa Bongofleva Malick Bandawe "Chiwa Man" kwa muda mrefu na kufanikiwa kupata mtoto wa kike miezi kadhaa iliyopita.
Chanzo kimoja cha kuaminika kilicho karibu na upande wa mume kimeitumia sms Swahiliworldplanet mchana huu kikisema "Rose Ndauka tunamtolea mahari leo".
Chanzo hicho kilipododoswa tena kwa kuulizwa mahari ni kiasi gani na ndoa inategemewa kufanyika lini kilijibu kwa ufupi kwa kusema "We unanifanya niwe paparazi....sijui ni how much...nitakujibu later" Rose Ndauka kutolewa kwa mahari inamaanisha kuwa harusi yake na Malick Bandawe ni hivi karibuni so watch this space for more.


Toka kelele za kuolewa rose zmeanza sasa ungekua mwaka wa pil kwenye ndoa
ReplyDeleteNa wafunge ndoa sasa.kelele nying sana.
Ilikuwa bado tu mahari, engaged bila posa loh
ReplyDeleteMmh gud luck
ReplyDelete