DISQUS SHORTNAME

EXCLUSIVE : PICHA ZA VJPENNY AMBAZO HUJAWAHI ZIONA POPOTE

Gossip Court tumefanikiwa kupata exclusive picha za VJPenny ambazo hujawahi kuziona sehemu yoyote ile mtandaoni.Picha zenyewe zimekaa kim...

Gossip Court tumefanikiwa kupata exclusive picha za VJPenny ambazo hujawahi kuziona sehemu yoyote ile mtandaoni.Picha zenyewe zimekaa kimahaba na kujaa utata kwani namna alivyokua ameweka pozi mmmmh...

Ukwaju wake unakuja soon tulia hapo hapo


Related

ZA MOTO 8809265453651422773

Post a Comment

  1. Duuuh sasa yule juu bwana wake au?shikamoo mkorogooo

    ReplyDelete
  2. Bwahahahahahaaaaaaaakaz kwelikweli jamani

    ReplyDelete
  3. Yule juu sijui ndo bwanaake mana khaaa majangaaaa

    ReplyDelete
  4. Huyu dada ni mbayaaa jmn.....

    ReplyDelete
  5. Hapo 360 ilikuwa haijazinduliwa bwahahahahaha shikamoo 360

    ReplyDelete
  6. Haki ya nani ni mbaya huyu kiumbe@shikamoomchina

    ReplyDelete
  7. Diii kiasi fulan nilikuwa namkubali vjpeny kidogo kidogo.....kuumbe ndivyo alivyokuwa hivyo? Kwakweli cku mikorogo wakiisimamia ipigwe marufuku watu hawatatoka ndani...+360 ni hatari kumbe diamond alifanya kumpaisha tu kuwa nae bora hata wema alivyokuwa hatumii mkorogo alikua nafuu c Kama huyu shoct kumbe kweli hukua hadhi ya Shem shikaamoooo mkorogo

    ReplyDelete
  8. Loh shoga ndivyo ulivyo iviii

    ReplyDelete
  9. heheeeee ss na hayo majasho jmn. hhaaaa hii ilkua mwaka gan dadeq

    ReplyDelete
  10. Aaaaaahhhhh watu mnamaneno eti shikamoo mkorogo

    ReplyDelete
  11. Penny hawezi kumfikia madam wema kwa chochote kile yaani na ashukuru dai alipotea njia angalau akapata jina na ss hv kinachomfanya awagande wakina halima ni anataka aendelee kusikika lkn penny wakawaida sana yaan hata cjui tumfananishe na nani nakuvaa zero yaani nywelevanazoweka sasa ni aibu so dai alivisoma vyote hivyo akaona hawaendani bora apige chini mzigo

    ReplyDelete
  12. Yaaani utazani sio penny mmmmhhh mjni kuna mambo alafu penny usiwe unacheka unatisha hapoo mbele meno yako hayajakaa vizuri mwanya juu na chini km mtaro aaaahhh wew uwe unatabasamu tu angakau kidogo

    ReplyDelete
  13. Penny inaelekea wakati anazaliwa mama Yake alikuwa anafanya kazi konoike duuuuh rami ilihusika daaaaaah shkamoo mkorogo kaaaah kama nyani mzee vileee

    ReplyDelete
  14. Utadhani Penny ni gume gume anabahati alikuwa rafiki wa Wema hapo hapo akamuibia bwana hahahhahaaaaa na ndi yukaanza kumjua kama even ana exist what she did lazima itamrudia back hata kujifanya ni rafiki wa kina Esma anadhani anamkomesha Wema sasa anajikomesha mana Wema sio wa size ya Penny atajiju as longer mr Chibu yuko Happy na where he is

    ReplyDelete
  15. Kama mbibi, daaah kweli mkorogo unasitiri watu, ingawa pamoja na hi yo bado ni mbaya. Hapana chezea madam ww. Anafanana na muosha mbwa wa madame

    ReplyDelete
  16. kila star ukimuangalia zamani alikuwa na muonekano wa tofauti hata huyo wema alikuwa mweusi kama tairi ila akajichubuakwa hiyo sishangai kwa penny

    ReplyDelete
  17. anony wa mwisho wema sepetu hakuwa mweusi kama tairi,alikuwa maji ya kunde hiviii na mzuri sana huwezi kumfananisha na huyo nyau hapo.na amshkuru sana wema ndo nyota yake ilianza kung'ara hapo baada ya ubest na kuiba bwana.wakati yupo channel ten enzi zile alikuwa anamjua nani???muangalie madam vizuri rangi yake inarudi vizuri tu na amekubali alijiharibu kujichubua ameacha.ambapo kwa taarifa yako aliemuintroduce kwa mkorogo ni huyo penseli.wasanii na ma star wetu wa bongo ni fake fake fake......ndo mana they cant stand wema sepetu coz she iz real mpaka naogopa.hanaga sababu ya kuficha mambo yake wala kufake maisha yake ndio maana hata marafiki anaokuwa nao wanashindwana.maana wanajishtukia kwa upuuzi wanaoufanya.kama huyo kuma baridi KAJALA.

    ReplyDelete
  18. shikamoo mkorogo heshima yako 360,jaman vjitu kumbe vya ajabu

    ReplyDelete
  19. Sijui kwanini mademu wanatumia mkorogo sio peke yake jamani she was too sweet wakati kadogo saizi shangingi hili hapa same aplied to wema na ukikuzoea unacontrol ngozi yako girls we need to change ni kwa usalama wa ngozi zetu na kubaki sisi ni kujiamini tu ndio silaha!

    ReplyDelete
  20. nyie mpicha yenu ya zaman ilikuaje?eeee waja achen kukufuru,eti mbaya we unajua kuumba?au wew nan hata uthubutu kumuita mwenzio mbaya,hii dunia jione leo mzuri mungu anaweza akakubadilisha kwa sekunde 1tu,hatuna haki ya kumwambia mtu mmbaya,semen mengine lakin hilo la ubaya umba wako tumuone

    ReplyDelete
  21. Duuuuuu ni xhidaaaaaa

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item