DISQUS SHORTNAME

DUH! DIAMOND ACHOMOA DEAL LA KUPIGA SHOW DUBAI KWA $15,000

Kama unapenda kujua yote kuhusu Diamond basi hapa ndio umefika kwani hivi  karibuni jamaa alifuatwa na agent kutoka Kenya anaepeleka wasan...

Kama unapenda kujua yote kuhusu Diamond basi hapa ndio umefika kwani hivi  karibuni jamaa alifuatwa na agent kutoka Kenya anaepeleka wasanii nchini Dubai kwa ajili kwa kupiga show lakini kitu cha ajabu
mkali huyo alichomoa offer.Jamaa tayari alikua ameweka dola za kimarekani elfu kumi na tano ( $ 15, 000) za kwenda kupiga show Dubai.
Mkali huyo aliendelea na msimamo wake huo bila ya kupepesa macho kwamba hapigi show hiyo kwa kiasi hicho cha dola, bila ya kusita wala kuwaza mara mbili alisimamia msimamo wake kwamba lazima dola 20 bila ya kupungua hata dola moja. Mkali huyo pamoja na kubembelezwa kila namna lakini alimtaka agent huyo akubali hela hiyo otherwise apotezee kazi hiyo. Big up Diamond kwa kujitambua katika sanaa yetu kwani kusimamia kipato ni jukumu lako na pia ni
kusaidia wasanii wadogo kukua haraka.

Related

STORY ZA KITAA 4255966650107222915

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item