DISQUS SHORTNAME

Diva kufanya video ya ‘Mashallah’na director wa Kenya, kuanzakufanya tour mikoani ‘kamamsanii’

Diva The Bawse ambaye ametoa wimbo wake  mpya ‘Mashallah’ siku chache zilizopita, amesema anajiandaa kuufanyia video pamoja na kuanza tou...


Diva The Bawse ambaye ametoa wimbo wake  mpya ‘Mashallah’ siku chache zilizopita, amesema anajiandaa kuufanyia video pamoja na kuanza tour ya kuutangaza wimbo huo. “Video tunatarajia kufanya na aliyefanya ‘Asante’ ya Ay,” Diva ameiambia Bongo5 leo.
Ameongeza kuwa kwasasa ameamua kuingia
kwenye muziki kwa miguu yote miwili, ndio sababu anatarajia kuanza kufanya tour mikoani kuutangaza wimbo wake. “Nahitaji kutumia muda mwingi kuutangaza huu wimbo, ambao uko chini ya management ya
Sharobaro Recs, na ningependa kuulizwa maswali yanayohusu muziki zaidi kuliko mambo binafsi,
nahitaji kuwa na privacy na ku-focus na biashara yangu, maisha yangu ya radio na muziki.” Diva ameongeza,
“Pia nina meneja mpya anaitwa Kerry Kerwin ambaye anamsimamia Victoria Kimani akiwa hapa Tanzania, na pia niko tayari kuanza kufanya shows za mikoani. Tutahakikisha huu wimbo unafika katika radio zote za mikoani Tanzania na nje, na habari njema ni kuwa ‘Mashallah’ imeanza kupigwa Nairobi.”

Related

BONGO FLAVA 7333217198371478459

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item