Aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha Leo tena Dina Marious anawaaga rasmi wasikilizaji wake wa kipindi hiki . Atasimulia tangu alipoanza kutangaza kipindi hiki ilikuwaje , nani alikiona kipaji chake , changamoto zilikuwaje hadi sasa anapokiacha leo kipindi hiki na kufanya majukumu mengine .