DISQUS SHORTNAME

Diamond Platnumz atua Uingerezakushoot video mpya, aongozanana Ommy Dimpoz

Mshindi wa tuzo saba za KTMA 2014 Nasib Abdul  aka Diamond Platnumz aka ‘Chibu’ na Ommy Dimpoz wameondoka Tanzania jana kuelekea  nchini ...


Mshindi wa tuzo saba za KTMA 2014 Nasib Abdul  aka Diamond Platnumz aka ‘Chibu’ na Ommy Dimpoz wameondoka Tanzania jana kuelekea  nchini Uingereza.  Platnumz na Dimpoz wakati wa safari yao ya UK
jana Diamond ameshare baadhi ya picha za safari hiyo akiwa ameongozana na Ommy Dimpoz pamoja na
meneja wake Babu Tale. Licha ya kuwa Platnumz hajasema kilichompelela Uingereza, lakini mpenzi wake Wema Sepetu kupitia ‘You Heard’ ya XXL, amethibitisha kuwa ‘baby’ wake pamoja na mambo mengine pia ameenda kushoot video. Asante mungu tumefika salama in London, ameandika Tale Hivi karibuni hit maker wa ‘Number 1′ alipokuwa Nigeria alisema ataenda Uingereza kushoot video ya wimbo wake mpya unaotarajiwa kutoka mara baada ya kukamilika. Jumamosi iliyopita Platnumz aliwaomba radhi mashabiki wake wa Uingereza kwa kushindwa kufika kwaajili ya show iliyokuwa imepangwa kufanyika siku hiyo (May 10) na kuahidi kuwa angesafiri siku si nyingi kwenda London kwaajili ya show hiyo. “APOLOGY to my UK FANS due to the reasons beyond our control me and my team @wcb_wasafi we won’t make it to the UK show tomorrow, But I promise you that we will be in UK Soon for another big show…Trust Me! My team
and my Uk promoter @victordjrule_ BongoUk we sincerely sorry for the inconvenience caused… Bt
You can still go and support @chrissdarling and @fullyfocus tomorrow #Rugby7AfterParty… “
Aliandika Instagram.

Related

BONGO FLAVA 3801181436449560932

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item