CMB PREZZO: AONGEA KWA UPOLE WITH INNOCENT VOICE BIFU KATI YAKE NA JAGUAR NA DIAMOND
Baada ya mengi kusemwa mitandaoni kuhusu Prezzo na Chagga Babie,Prezzo na Diamond na Prezzo na Jaguar,leo Prezzo kwa sauti ya upole ...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/cmb-prezzo-aongea-kwa-upole-with.html
Baada ya mengi kusemwa mitandaoni kuhusu Prezzo na Chagga Babie,Prezzo na Diamond na Prezzo na Jaguar,leo Prezzo kwa sauti ya upole kafunguka kuhusu bifu zake na nini anataka kufanya na ushauri juu ya wasanii wa Afrika ya mashariki,tafadhali chukua dakika chache kumsikiliza akihojiwa katika kipindi cha AMPLIFIER cha Clouds FM
VIDEO: Comments zako mtu wangu unahisi kazungumza uliyohitaji kuyasikia kutoka kwake ? nahisi kama kuna mambo kayapotezea hivi......!!!!

