BREAKING NEWS: GEORGE TYSON AFARIKI DUNIA
Kutoka katika chanzo cha kuaminika huko Morogoro ambapo ndiko tukio la ajali lilipotokea.. IMETHIBITISHWA kuwa GEORGE TYSON ambae alikuwa ...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/breaking-news-george-tyson-afariki-dunia.html
Kutoka katika chanzo cha kuaminika huko Morogoro ambapo ndiko tukio la ajali lilipotokea.. IMETHIBITISHWA kuwa GEORGE TYSON ambae alikuwa ni mmoja wa MADIRECTOR wakubwa tu TANZANIA pia aliwahi kuwa mume wa msanii Monalisa na kubahatika kupata mtoto wa kike, hatunae tena Duniani... Hili ni pigo lingine tena ktk sanaa na taifa zima.

