DISQUS SHORTNAME

BINTI WA KITANZANIA AUWAWA KWA KIPIGO INDIA,YADAIWA KISA MAPENZI MNIGERIA AHUSIKA

Tumepokea habari za kusikitisha kutoka India kuhusu msiba wa binti anaeitwa Neema alikua anaishi Tabata Segerea kabla ya dada huyu kwend...



Tumepokea habari za kusikitisha kutoka India kuhusu msiba wa binti anaeitwa Neema alikua anaishi Tabata Segerea kabla ya dada huyu kwenda India alikua anaishi na mume wa mtu anaeitwa Mercy hapa Dar,baada ya Mercy kuachwa na mumewe na kusikia anaishi na mtu mwingine ambae ni Neema,Mercy akahisi kua Neema ndio chanzo cha ndoa yao kuvunjika na akaapa kumtafuta Neema popote atakapompata na atamfundisha adabu.Neema alitafuta pesa na kuamua kwenda India kutafuta maisha huku akiacha mtoto wake Dar.Na Mercy nae baada ya kumtafuta Neema kwa mda mrefu bila mafanikio Mercy aliamua kwenda India kutafuta maisha (inasemekana hufanya biashara ya kujiuza katika jiji la New Dheli).Bila kujua kua na Neema nae alikua India siku 1 walikutana katika mitaa ya India na kwa sababu wote ni wageni waliishia kutukanana bila kuzua ugomvi wa aina yoyote.



Neema alipofika India alikutana na mnigeria anaeitwa Akuba ambae nae anaishi India na kuamua kuishi nae tena.Baada ya muda Neema alishika mimba na akamfahamisha Akuba kua anataka kutoa ile mimba kwa sababu alikua tayari na mtoto mwingine Dar na Akuba hakuridhia swala hilo kwani Akuba alitaka Neema ajifungue mtoto yule kwani kwao (Akuba) yeye ndio mwanaume na akipata mtoto ni fahari kwao Nigeria ,hapo ndipo ugomvi ulipoanzia.Maisha hayakua kama awali tena kwani Neema aliamua kwenda hospitali na kutoa ile mimba na Akuba alipojua kinachoendelea alikua anampiga Neema bila sababu kila siku na alikua hasemi kwa wenzake.Siku moja alipata bwana mwingine na akapanga wakakutane siku mojja bila akuba kujua kinachoendelea,bahati mbaya eneo hilo Mercy alikuepo na alipomwona Neema amekutana na Mwanaume alimpigia simu bwana yake Akuba ili iwe kama fumanizi na alifanikiwa na Akuba alipofika pale Neema alishushiwa kipigo kwa kuchangiwa na watu wawili Akuba na Mercy amabae alikua na hasira za kuibiwa bwana Dar.Mercy alianza kuwapigia wazazi wa marehemu simu akiwaambia kua mtoto wao anajiuza India.Kumbe Neema baada ya kutoa mimba ile inasemekana hakusafishwa vizuri na akapata uvimbe tumboni uliokua unamsababishia maumivu makali na kushindwa kula kwa kipindi kirefu.Akuba aliamua kumpeleka Neema hospitali na akashauriwa amuache alazwe ili apatiwe matibabu lakini Akuba alisema hana pesa ya kumhudumia na kulipia matibabu atakapolazwa,wampe vidonge na arudi nae wanakosihi.Baada ya mvutano madaktari walifanya kama anavyotaka na hali ya Neema iliendelea kua mbaya kadri muda unavyoendelea......mpaka siku moja Neema akafanikiwa kutoroka akakimbia na kwenda kukaa na rafiki yake mtanzania anaeitwa Julieth ama Juju akama anavyofahamika India.Watanzania walitaka kusuluhisha ugomvi wamrudishe Neema kwa Akuba lakini aliwaomba bora wasimrudishe huko kwani anayokutana nayo hawezi tena kuyahandle.Baada ya mda Neema alizidiwa na alipokua akipelekwa hospitali Neema alizidiwa njiani na kufariki.

Baada ya Neema kufariki adui yake Mercy alionekana kufurahishwa na kitendo hicho kwa kutuma meseji akijitamba na kusema ndio adhabu aliyopewa Neema na Mungu.

Gossip Court tumefanikiwa kupata screen shorts za charts za whatsapp kati ya Mercy na binti mwingine wa kitanzania, pia binti wa kitanzania akichati na Akuba na hivi ndivyo ilivyokua;




CHAT YA AKUBA NA MTANZANIA


Related

ZILIZOTUFIKIA 5972799351844610515

Post a Comment

  1. Inasikitisha sana,adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie laana hii alitupa nani jamani yeleeuwiii.

    ReplyDelete
  2. Duuuu very sad

    ReplyDelete
  3. Yaan kuna watu wana roho mbaya mpk shetani Anakua kwenye kigoda kushangaa wenye roho mbaya zaidi yake

    ReplyDelete
  4. Jaman wanasheria causation doctrine hapo haiwi applicable against mercy?

    ReplyDelete
  5. Watu wana roho mbaya sana r.i.p ney

    ReplyDelete
  6. Tuwekee picha ya huyo mercy tumchambeee malaya mkubwa ana roho mbayaa! !!! Tumuwekee kwenye magazeti wananchi wamjue alivyo na rohoo mbayaa! !

    ReplyDelete
  7. Jaman jaman jaman hii dunia imekuwaje yaan mwanamke unachangia kifo cha mwanamke mwenzio kwel kama ww hujui uchungu wa mzanzi inauma kiukwel haya maisha haya tumekuwa zaidi ya wanyama bora kuishi porin na wanyama wakal kuliko binadamu mwenzio,,mwenyezi mungu akupumzishe salama mbele yako nyuma yetu RIP ney

    ReplyDelete
  8. Toto bad.......duh.

    ReplyDelete
  9. kifo kimetokana na utoaji wa mimba hicho jamani, watu wote huku tunajua, watu msioelewa msikuze mambo, huyo dada ni hasira tu za kuchukuliwa mume

    ReplyDelete
  10. We anony hapo juu Akuba na Mercy ndio chanzo siku ile Neema kapelekwa hospitali why Akuba asingekubali alazwe ? yangetokea haya yote ? na akarudi nae nyumbani na kuendelea kumpa kipigo,wangapi wanatoa mimba hapa wanadunda maeneo ya kujiuza huko? Sema ndio too late Neema kashafariki na hatuna namna lakini natamani ungejua ilivyokua inside walls ya ile nyumba!

    ReplyDelete
  11. Barozi ipo wapi kmyaaa mtu wa pili kuuliwa India na kesi Ina zimwa kmyaaa wana baki kuongea wana jua kukaa juu ya vit na kupokea mshahara manina ndugu zetu wana umia shenziiii

    ReplyDelete
  12. Mi naona kifo kimesababishwa name mimba cs km angemuelewa Akuba yasinge mkuta,utowaji wa mimba no Atari,kwanza angekuwa mwanaume mwingine Ange mfukuza au kumpeleka police

    ReplyDelete
  13. maskini hapo amekufa sababu ya kutoa mimba sio kingine

    ReplyDelete
  14. inasikitisha sana...

    ReplyDelete
  15. Hakuna kitu kibaya duniani kama chuki binafsi,katika hali ya kibinadamu sidhani kama kuna binadamu wa kawida anayeweza kufurahia kifo cha mwenzie hii habari ni ya uongo cz imejichanganya sana na inavyoonyesha huu ni mpango umesukwa katika kumchafua huyo dada mercy!

    ReplyDelete
  16. Na kwataarifa nilizozipata huyu binti mwenye hii blog alikuwa rafiki mkubwa wa huyo mercy ila katika hali ya wasichana ikatokea wakakorofishana huyo binti akaena kumtafuta marehemu wakawa marafiki ili kumrusha roho mercy, wakawa wanaweka picha zao wako pamoja kt mtandao wa facebook ili tu huyo mercy aone na ktk hali ya kusaka maisha huyo binti akasafiri kwenda india kwa bwanaake ambae ni Akuba jamaa aliyemuua neema bahati mbaya kufika hukohuyo binti mwenye hii blog akakorofishana na huyo jamaa wakaachana kama ujuavyo tamaa za mabinti neema akawa anawasiliana na huyo binti na kumuomba amtafutie bwana huko india cz anataka kubadilisha mazingira na bila hiyana huyo binti akamwambia usijali mm nilikuuwa na mtu wangu ila tumekorofishana akampa jina la huyo jamaaa analotumia facebook akamwambia mtafute umtumie picha zako akikupenda mwambie unataka kuja kumtembelea bahati nzuri jamaa akampenda neema, na neema akafanya michakato yote akaingia india kwa huuo jamaa ambae ni akuba baada ya kufika huko india mapenzi yalipowanogea huyo binti aliwaunganisha akapata wivu iweje huyu jamaa ampende neema kuliko ilivyokuwa kwangu akaanza kupita kwa watu kumtangaza neema kamwibia bwana kumbe yy ndo aliyempa mwenyewe! Akaweka bifu kubwa kati yake na neema mpaka kufikia hatua ya kutafuta no ya mercy na kumpigia na kumwambia unajua mke mwenzio yuko india na mercy nae kupanic cz nayy alikuwa huko huko kitambo akawapigia ndugu wote na kuwapa taarifa lkn ilionekana kama hakuna aliyemwamini baada ya kifo cha neema marafiki wote wakawa wanamlaumu huyo binti kuwa ww ndo uliyemuunganisha kwa jamaa kwa kuficha aibu huyo binti akakimbilia anapopajua yeye akawa anapigia watu kuwaambia mercy ndio anaehusika maskini ya mungu huyo mercy hajui chcht zaidi alikuwa akipigiwa simu kuambiwa uuyo binti yuko kwenye hali mbaya baada ya kupigwa na bwanaake, Kwa hiyo jamani siyo taarifa zote zinazowekwa mitandaoni zina ukweli nyingi zinawekwa kwa manufaa ya watu fulani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Halafu wewe si ndio uko Delhi wale mnaojiuza mahotelini na mabwana zenu hawajui ? kwa nini msirudi nyumbani mkatulia tu jamani ? Maisha mnayatafuta kwa taabu namna hiyo,nasikia mara mangeuzwa mara jamaa anamalizia kila kitu mdomoni.....mweeeee

      Delete
  17. Kosa la marehemu baba hakuvaa kondomu

    ReplyDelete
  18. Kwa yyt aliyeenda shule hawezi kuamini hii story mimi kwa upande wangu naipiga XX bado haijanishawishi kuamini huyo dada kama anahusika

    ReplyDelete
  19. Huyo binti anafuta njia ya kujisafisha kwa kumchafua mwenzie basi nayeye awekwe mitandaoni achafuliwe kama alivyomfanyia mwenzie maana hii siyo habari bali ni story! Kajichanganya sana ktk kuhadithia story yake!

    ReplyDelete
  20. Anayeua kwa upanga atakufa kwa upanga wakati anaua kiumbe kisicho na hatia alikuwa anafikilia nn? Starehe yake isiwe kero kwa wengine huo ndio mshahala wa dhambi zake R.I.p

    ReplyDelete
  21. Uyo demu ni fala sana ni babra ndo uyo demu malaya mchafu anae unda habari izi usipojipanga uyo babra ni msichana hanaroho mbaya saba trust me alikupa story nyingi za upngo kama vip weka ile no yako ya watsup nikupe mkanda mzima ulivyokuwa

    ReplyDelete
  22. Babra egberty ww ni muuaji tena ww cyo binadamu wa kawaida ww ni nyoka , mwenye vichwa saba muogope mungu wako hivi ni nn kinachokufanya uhangaike na mercy kiasi hiki mbona yy hana tym naww.? Muogope mungu mwanamke yani utadhani umezaliwa guest bwana maana kila mtu anakisema ww kwa tabia zako chafu za uongo, ugombanishi na unafiki hivi unapata faida gani tangu uqnze kumchafua umelipwa sh, ngapi? Tulia fanya yako ukaikomboe familia yko maskini waso na mbele wala nyuma kumbuka ww ndo tegemezi ktk familia yenu uuze uchi ukaisaidie familia yenu muogope mungu kila mtu ameshakujua usipende kushindana na mtu ambae hamuendani wala hamfanani acha wivu wa kijinga malaya mchafu ww

    ReplyDelete
  23. R.i, p babra egberty au anna mwasene changudoa uliyefulia, unaejaribu kujilinganisha na watu ambao level zako mwanga wa milele ukuangazie tunajua mercy anakuumiza kichwa sana, acha wivu wa kijinga malaya ww ukiona hampatani jua hamfanani,umeanza kumchafua mwenzio cku nyingi bt anapiga kimya cz anajua unajaribu kujilingalinganisha nae unashindwa basi unabaki kutapatapa kuma la mama yako mzazi

    ReplyDelete
  24. huyu anna mwasene ni malaya tangu shule wakati anasoma temboni secondary,alikuwa anakaa ubungo na kwao ni masikini hujapata ona,mama ake anauza samaki kwao choka mbaya,msameeni anajiuza kwao wapate kula sio kingine # imma 2

    ReplyDelete
  25. Anatafuta kick mjini kwa watoto wazuri wasiokuwa na muda mchafu nilionyeshwa picha ya mercy maskini demu anaonekana very decent na innocent, huyo babra hakufanya vzr kumuchafua mwenxie hivyo ila dunia itamfunza cx wote tunaamini malipo ni hapa hapa duniani ahera kuhesabiwa

    ReplyDelete
  26. Huyo babra atalaaniwa ktk jina la yesu

    ReplyDelete
  27. Umalaya wa huyo neema ndio uliomuua kilichomfanya asitulie na huyo mume wa mercy ni nini inaonyesha ndio tabia yke kubadilisha wanaume acha afe tu kwanza njia moja hiyo kila mtu atapita waacheni watakutana ahera maana hakuna anaeujua ukweli zaidi ya marehemu na huyo bwanaake

    ReplyDelete
  28. Akapumzike kwa amani malaya na wasaliti wazidi kupungua duniani maana hata mm nimeteswa sana ktk mapenzi

    ReplyDelete
  29. Acha afe malaya wapungue

    ReplyDelete
  30. huyu barbra aka anna yupo hai hajafa, hii ni cover up story to believe she is dead just to hide all she messed up

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item